Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Karudi kwao nyumbani ni nyumbani zingine mbwembwe
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]ila anajua kuchoresha watu huyu Baba [emoji23][emoji23]Nadhani kaahidiwa kugombea 2020 ili kuokoa chama si bure,pia ili kuokoa Mali zake na mkwe wake atolewe jela,
HANA IMPACT ARUDI TU HANA ISSUE
Shillingi itapanda thamani!
Hahahaha mkuu una akili kubwa sana.Nadhani amefanya hili ili tukio lake lisibambe sana anajua jinsi raia watakavyo maindi