Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Leo nitakesha kwenye bar kwa furaha ya Lowassa kuondoka cdm. Alaaniwe Mbowe na genge lake kupokea hela ya Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea urais.
Mkuu mimi nililaani sana humu JF nikamlaumu Mbowe kwa kuwezesha au kukubali ujio wa Lowassa CHADEMA.
Hatimae leo tunaongea lugha moja.
CC: Retired , BAK , zitto junior , Erythrocyte , Ritz , Salary Slip
 
Sasa ivi tuanzege KUBET kwa hawa wanasiasa wetu,hakika wanafaa makampuni ya michezo yaingize majina yao kwenye Mikeka LEO hakika ningekua MILLIONEA.
 

Mwanangu Busha mbona mimi siamini kama Lowassa alipenyeza hela yoyote?

Siamini kabisa!

Labda wewe unihakikishie kwa kuniwekea evidence hapa isiyokua na shaka!

Tukianza kusema kwa maneno generally tu juu juu kua aligawa pesa tutakua tunafanya insinuation!

Kwa kipindi ukimchukua Dr Slaa na Lowassa,Lowassa alikua amempita Dr Slaa kwa approval rating,Mbowe alifanya logical choice ya kumchukua Lowassa maana alikua na kundi kubwa sana la watu wa CCM!

Logic ya Lowassa kutoa hela hai-make any sense kwa minajili hii!
 
Kule Cdm ni ngumu sana kwa mstaarabu kukaa, kuna matusi balaa. Sasa bora liCCM litawale tu
 
Duh. Bora.

Huyu bwana ameshiri sana kuua upinzani. Kumpokea ikikuwa ni mistake kubwa sana ambavyo itawatesa kwa muda mrefu. It was miscalculated.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…