Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Chama kinachotegemea rejects kutoka kwingine hata Lisu anaweza kufa na ndoto ya kugombea,Membe anakuja huko jiandaeni kudeki barabara
 

Mkuu hawa wanasiasa ambao hawako consistent wanachefua sana ...afadhali angejivua uanachama na sio kurudi CCM what a traitor??!!!

CCM hii ambayo inacheza na Maisha ya watu tangia uhuru, watu ambao wanatumia serikali kujipigia, kabla hujasupport this foolish government , umewahi kufikiria kuna ndugu zako kijijini wanakufa sababu ya kukosa madawa na kabla huja support hii serikali ya kidhalimu je umeangalia watu wanaokuzunguka wanaishije ? Watu hawa afford 3 meals a day halafu unali support hili liserikali lako?!! My dear are you blind?

I’m also with opposition, people who despite being harassed and humiliated and sometimes jailed,they continue to fight for democracy of this country
 
Kwa ufupi Waziri Mkuu mstaafu ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Frederick Sumaye amesema uamuzi uliochukuliwa na Edward Lowassa kurejea CCM hauwezi kuwateteresha
 
Sasa hiyo itakuwa balaa kwenye jukwaa la siasa..Tusubiri
Chama kinachotegemea rejects kutoka kwingine hata Lisu anaweza kufa na ndoto ya kugombea,Membe anakuja huko jiandaeni kudeki barabara
 
Wameniudhi sana. Maana hii ya Lowasa ndo ingekuwa big newz. Sasa watu wapo na kumpokea marehemu Ruge.
mimi binafsi nimefurahi lowassa kurudi maana ilikuwa ndiyo kete ya turufu ya maghu kipindi cha uchaguzi angemfunga kwa uhujumu uchumi na huku akipiga kampeni ya kuwa mafisadi wa chadema wako ndani lakini sasa anaanzaje kumfunga na kutamba, pia lowassa ndiye alisababisha watu wakatulia 2015 naomba chama kishikwe na vijana kama sugu,lijualikali na kina mdee
 
Hao hawanaga aibu maana chumia tumbo kamwe hanaga aibu kwake bora mkono uende kinywani
Kama kweli wakudadavua na wenzake vipara vipya wataeka wapi sura zao???, mleta mada chanzo tafadhari cha habari yako

In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…