chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
Njaa mbaya sanaNamsubiri Yule aliesema hawezi kukaa na Kinyesi Sebuleni aachie UBALOZI!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent from my Iphone using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa mbaya sanaNamsubiri Yule aliesema hawezi kukaa na Kinyesi Sebuleni aachie UBALOZI!
Sent using Jamii Forums mobile app
DahKule Cdm ni ngumu sana kwa mstaarabu kukaa, kuna matusi balaa. Sasa bora liCCM litawale tu
Becky
Ndio maana matukio kama haya yananifanya nizidi kujivunia opposition!
Watu wa opposition ni watu fulani very intelligent,righteous,tough na hatukatagi tamaa!
These are the virtues I'm ready to die for!
My heart goes to all men and women who left all the luxuries of this world CCM's government can offer and decided to die for the noble cause of democracy of this country through opposition!
These are the toughest people in Tanzania....I"m with 'em till the end!
Kwani lowasa alivyokuwa chadema alikuwa fisadi?kama hakuwa fisadi basi tumempokea.
Naona kwenye tovuti ya chadema atarudishwa kwenye cheo chake cha Fisadi No.1
Kweli kabisa. Nnakuhakikishia ni taarifa za ukweli.hakyamungu?khaa hv hawa kwann wanatufnya watz wajinga namna hii
Chama kinachotegemea rejects kutoka kwingine hata Lisu anaweza kufa na ndoto ya kugombea,Membe anakuja huko jiandaeni kudeki barabara
mimi binafsi nimefurahi lowassa kurudi maana ilikuwa ndiyo kete ya turufu ya maghu kipindi cha uchaguzi angemfunga kwa uhujumu uchumi na huku akipiga kampeni ya kuwa mafisadi wa chadema wako ndani lakini sasa anaanzaje kumfunga na kutamba, pia lowassa ndiye alisababisha watu wakatulia 2015 naomba chama kishikwe na vijana kama sugu,lijualikali na kina mdeeWameniudhi sana. Maana hii ya Lowasa ndo ingekuwa big newz. Sasa watu wapo na kumpokea marehemu Ruge.
Kama kweli wakudadavua na wenzake vipara vipya wataeka wapi sura zao???, mleta mada chanzo tafadhari cha habari yako
Hahhaaa so kirahis hivyo kwa kumsumbua sana jiwe wakat wa uwazirHata Mbowe nae ni suala la muda tu. Hasa kama atapokonywa uenyekiti nadhani baada ya masaa 72 atakuwa tayari ashapewa kadi ya CCM na uwaziri wa TAMISEMI kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app