Kwa ufupi Waziri Mkuu mstaafu ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Frederick Sumaye amesema uamuzi uliochukuliwa na Edward Lowassa kurejea CCM hauwezi kuwateteresha
Hata Mbowe nae ni suala la muda tu. Hasa kama atapokonywa uenyekiti nadhani baada ya masaa 72 atakuwa tayari ashapewa kadi ya CCM na uwaziri wa TAMISEMI kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Slaa mtoto wa kijijini?Dah Barafu umeniwahi, sasa SLAA arudi CDM, watoto wa mjini wabaya sana.. ROSTAM on the move.
Ameenda na upepo wa ruge itaandikwa lowasa apokelewa kuziba nafasi ya rugeAmerudi kwa aibu kubwa akijificha nyuma ya ruge hata mtu mmoja asijue afadhali CDM sasa.
Itakuwa faida kwa upinzani 100%....
Nilishapiga kelele sana hapa kuhusu Lowassa na Sumaye....
Hawa ni watu walioshiriki kila aina ya ufisadi ndani ya ccm .
Angalia sasa tamaa ya mbowe sijui na Dr slaa uso wake atauweka wapi?....
Niwakati wa Lissu kapewa chama na kumshawishi Bi Fatuma karume wagombee 2020 tuchukue nchi mapema...
Fukuzeni na Sumaye kwenye chama ungana na Zitto awe waziri mkuu baada ya uchaguzi hapo tutawapigania kwa hali na mali.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbukizi Mtifuo!View attachment 1035451
sioni tatizo! Na CCM ikitoka madarakani yanayotokea CDM ytatokea CCM!Mkuu mimi nililaani sana humu JF nikamlaumu Mbowe kwa kuwezesha au kukubali ujio wa Lowassa CHADEMA.
Hatimae leo tunaongea lugha moja.
CC: Retired , BAK , zitto junior , Erythrocyte , Ritz , Salary Slip
Ahaa kumbe umeweka kigingi kwenye ushahidi,, basi ushahidi upo na utakuja kuuona tu,vuta subira,,,Mwanangu Busha mbona mimi siamini kama Lowassa alipenyeza hela yoyote?
Siamini kabisa!
Labda wewe unihakikishie kwa kuniwekea evidence hapa isiyokua na shaka!
Tukianza kusema kwa maneno generally tu juu juu kua aligawa pesa tutakua tunafanya insinuation!
Kwa kipindi ukimchukua Dr Slaa na Lowassa,Lowassa alikua amempita Dr Slaa kwa approval rating,Mbowe alifanya logical choice ya kumchukua Lowassa maana alikua na kundi kubwa sana la watu wa CCM!
Logic ya Lowassa kutoa hela hai-make any sense kwa minajili hii!
Najaribu kuwaza tu,huenda Lowassa kurejea CCM kuna uhusiano na mkwe wake kuwa lupango kwa kesi ya uhujumu uchumi!
Lowassa huenda kajifunza jambo toka kwa Rostam ambapo Rostam alipotinga tu ikulu tukaona maamuzi ya DPP kufuta mashtaka ya utakatishaji fedha na akabaki na mashitaka aliyoambiwa alipe faini!!!
Wenye kuona mbali,muda utaongea!
Tusubiri hatma ya mkwe wake!Mzee kaona ameingia hasara kununua chama.
Bado Yule mwingne nae atarudi uchaguzi ukikaribia.
Stay tuned,
Devils can't be Angels and vice versa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hawa wanasiasa ambao hawako consistent wanachefua sana ...afadhali angejivua uanachama na sio kurudi CCM what a traitor??!!!
Exactly my sentiments!CCM hii ambayo inacheza na Maisha ya watu tangia uhuru, watu ambao wanatumia serikali kujipigia, kabla hujasupport this foolish government , umewahi kufikiria kuna ndugu zako kijijini wanakufa sababu ya kukosa madawa na kabla huja support hii serikali ya kidhalimu je umeangalia watu wanaokuzunguka wanaishije ? Watu hawa afford 3 meals a day halafu unali support hili liserikali lako?!! My dear are you blind?
I’m also with opposition, people who despite being harassed and humiliated and sometimes jailed,they continue to fight for democracy of this country
Haswaaa! Imebaki ya yule "Kachero" mropokaji wa Uskochi.
Mkwe atatoka hela sasa hivi .
Wacha muda uongee!Hiyo tunahesabau masaa tu kama siyo siku
In God we Trust