Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Haka kamchezo kazuri sana..!

Kamwe; usitegemee mwanasiasa kuwa upande wako, wote ni wafafutaji kama wewe....
 
Kauli ya usimuamini mwanasiasa inavyoonesha ukweli halisi kuhusu wanasiasa
 
Mkuu ile ilikuwa mechi tu Timu ya CCM ilijigawa mara mbili kwenye uwanja wa Siasa goli Moja lilikuwa chadema lingine CCM timu ile ile .Pole wachezaji ni wale wale wale wa CCM ila magoli yalikuwa tofauti timu ikiwa mazoezini

Hahahaha siasa za tanzania pasua kichwa tuwaachie wataalumu huu uwanja nimenyoosha mikono
 
Kama ilivyo kawaida, endapo atajitokezza kiumbe kumkashfu au KUMSEMA vibaya Lowasa Basi ajiandae kupambana na jeshi la polisi.

Awali maneno yake yalikuwa ya uchochezi ila leo Mhe. Dingilai kasema amefutiwa dhambi zake na amekuwa mpya.

Usimtamkie mabaya mzee wetu, Msukuma yule jamaa yako uliyemtusi amerudi kwao Sasa jiandae kumfanya rafiki ukigoma acha chama.

Nape mzee karudi so jiandae kumsujudia,

Makonda jiandae kumsalimia kwa heshima mzee baba la sivyo utapoteza ukuu wa mkoa.

Ridhiwan baba karudi, ulimkejeli Sasa amerejea jamvini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda akihama Mbowe na Lissu ndiyo kidoogo nitapatwa na kizunguzungu cha muda tu lkn lowasa wacha arudi zizini akaokoe mali zake

In God we Trust
Mkuu Rais wa mioyo yenu karudi kule alikotokaga...!

Nawaza tuu kama ni msafi bado au keshakuwa fisadi..? [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom