Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Wazee wa ulipo tupo naona nao wapo njiani kurejea CCM.
Kama nawaona...wakipaki mabegi yao kuwahi siti Lumumba...ila Lowasa na team yake ni wana mikakati konki sana...Baba Jesca naye amecheza karata turufu...ameangalia upepo wa mtu yule wa maembe unavyovuma kwa nguvu...akaamua kusajili haraka...Kweli siasa mchezo wa karata....ukilamba vibaya umeliwa...Mbowe 2015 alicheza vizuri...kwa kusajili mtu aliyemletea wabunge wengi na madiwani wa kutosha....kitu ambacho hakiwahi kutokea kabla...Kwangu naona Lowasa kwa chadema aliwasaidia sana kukijenga chama chao....na chadema hawawezi kilipinga hilo...
 
Chama kinachotegemea rejects kutoka kwingine hata Lisu anaweza kufa na ndoto ya kugombea,Membe anakuja huko jiandaeni kudeki barabara

Sidhani mkuu kama wewe ni mkweli!

Kipindi kile Lowassa anatoka CCM alikua reject?

Hivi unakumbuka Lowassa alikua na power kiasi gani ndugu yangu?

Sometimes wakati unatoa analysis uwe mkweli!
 
Chadema inamalizwa na wanachadema wenyewe!!! Angalieni hata comments zao baada ya tukio hili!!! Naomba muweke kumbukumbu hii, bila kutubu makosa ya 2015 na kuwajibika tusitarajie mabadiliko ya kisiasa. Chadema inaenda kuwa NCCR mpya, mark my word!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa za CDM zilianza kuwa ngumu kuanzia 2015.Sasa hivi kukiwa na mipango mizuri itasimama tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wana wivu jamani! Yani wameona msiba wa Ruge umetikisa nchi wamenuna. Wanaogopa isijekuwa “Msiba wa Ruge ulikuwa mkubwa kuliko huu”

Hata hivyo nimejifunza, nilimpenda na kumuamini sana Lowassa nikasahau ni mwanasiasa tu ambaye maslahi yake binafsi ndio kipaumbele chake kikuu.

Sitaki kuwa shabiki wa mtu tena, nitafanya siasa huru pasi na kumuamini yeyote.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Watu wana wivu jamani! Yani wameona msiba wa Ruge umetikisa nchi wamenuna. Wanaogopa isijekuwa “Msiba wa Ruge ulikuwa mkubwa kuliko huu”

Hata hivyo nimejifunza, nilimpenda na kumuamini sana Lowassa nikasahau ni mwanasiasa tu ambaye maslahi yake binafsi ndio kipaumbele chake kikuu.

Sitaki kuwa shabiki wa mtu tena, nitafanya siasa huru pasi na kukuamini yeyote.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Duh hadi Nifah umeibuka? Aisee.
 
Mimi naona Kilichomleta CHADEMA ni tamaa ya madaraka na sio uwanachama!..

Sasa kaona CHADEMA kuna vijana wenye nguvu na 2020 hana nguvu za kupimana nao ubavu bora arudi ccm ya wanyonge.. na huu ndio mwisho wake kisiasa!


Huko alikorudi ndio kaenda jimalizia mbali.

Kishindo cha ujio WA lissu Tanzania ni zaidi ya ugonjwa kwa asiejua maana ya siasa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawezi kumkimbia lissu wewe,alipokuja CHADEMA aliletwa kwa MIKAKATI na watu wa CCM!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Really?

Eti Lowassa aliletwa kimkakati CDM!

Hivi alipokatwa Lowassa akawekwa Jiwe Lowassa alikua kwenye hali gani halafu uniambie alitumwa CDM kimkakati?

Mtu mzima kama wewe kua muongo muongo namna hii kishabiki hivi ni upumbavu!
 
Kuhama kwa Mjumbe wa Kamati Mkuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Edward Lowassa na kuamua kurejea CCM hivi kweli anamkimbia Tundu Lissu katika kinyang'anyiro cha Urais 2020?View attachment 1035440View attachment 1035441
Hahahaa....... Chadema hawana msimamo mara Membe......mara Lisu....... mara Nape yaani full kujichanganya.

Lowassa kaona isiwe taabu!
 
Back
Top Bottom