NAFIKIRE
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 660
- 456
Kama nawaona...wakipaki mabegi yao kuwahi siti Lumumba...ila Lowasa na team yake ni wana mikakati konki sana...Baba Jesca naye amecheza karata turufu...ameangalia upepo wa mtu yule wa maembe unavyovuma kwa nguvu...akaamua kusajili haraka...Kweli siasa mchezo wa karata....ukilamba vibaya umeliwa...Mbowe 2015 alicheza vizuri...kwa kusajili mtu aliyemletea wabunge wengi na madiwani wa kutosha....kitu ambacho hakiwahi kutokea kabla...Kwangu naona Lowasa kwa chadema aliwasaidia sana kukijenga chama chao....na chadema hawawezi kilipinga hilo...Wazee wa ulipo tupo naona nao wapo njiani kurejea CCM.