Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makamanda jiandaeni kisaikolojia hakuna lisilowezekana chini ya jua.
Maendeleo hayana vyama!
Huyo MTU alitumia utumbo kufikiri badala ya ubongoDr Slaa itabidi arudi CHADEMA sasa,maana "Fisadi" amerudi kwenye zizi lake
Wala hawana shida ....
Mkuu wewe na uelewa wako unasema tuna msiba wa Taifa? Tafadhali!Ama kweli mzee kabanwa kila sehemu,mme wa mwanae leo mwaka wa ngapi sijui yupo Lumande. But why wanatangaza ndani ya kipindi cha msiba wa Taifa?
Mzee baba...leo siku nzuri sana kula beer...Hahahaha
MTC | 101| [emoji769]
Alikata kadi ya CCM akiwa sekondari na anayo hadi leo!.... Hata ya Ncvr bado anayo!Lissu hajawahi kuwa CCM baada ya 1992
Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa Amerejea Rasmi CCM Leo.
Amepokelewa Lumumba Makao Makuu Madogo Ya Chama Cha Mapinduzi Na Katibu Mkuu Dr Bashiru Ally.
Aidha, katika mapokezi hayo walikuwepo Rais Magufuli, Rostam Aziz, Mzee Phillip Mangula, Waziri Mkuu Majaliwa Kassim, Humphrey Polepole n.k
View attachment 1035375
View attachment 1035448
Unaweza soma pia:
Edward Lowassa na Frederick Sumaye mbioni kurejea CCM - JamiiForums
Edward Lowassa: Wanaodhani nitarudi CCM wanapiga porojo na kuota ndoto - JamiiForums
Lowassa hana namna zaidi ya kuipigia magoti CCM, Mkwewe Sioi Sumari mpaka sasa yupo lockup - JamiiForums
Ninamaanisha kurejea siyo kuhamia......siye wengine tulijiunga CCM tukiwa sekondari tunajuana!TITLE SIYO SAHIHI
TOFAUTISHA KATI YA KUREJEA NA KUHAMIA
Duh hadi Nifah umeibuka? Aisee.