moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Jamaa amekwaosea heshima watanzania waliompigania.
Ametanguliza maslahi yake bila kujali kundi la watu walioumia kwa ajili yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa amekwaosea heshima watanzania waliompigania.
Mimi CCM nikupongeze kwa msimamo wako chadema ni kweli post zako zote Pamoja na kuwa chadema ulikuwa humtaki hujawahi mkubali.Nikupongeze kwa kuwa na msimamo uwe sahihi au la unakomaa tu .Kwa hili mwanachadema wewe nakupongeza.Wanaokutukana humu waangalie post zako haujawahi mkubali Lowassa.Ni haki yako kukubali au kukataa mtu hata kama Mbowe hakukusikiliza.Leo nitakesha kwenye bar kwa furaha ya Lowassa kuondoka cdm. Alaaniwe Mbowe na genge lake kupokea hela ya Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea urais.
Mzee baba...leo siku nzuri sana kula beer...
Win win loose loose both ends.Wimbo ulianza kwa chadema, hakuna kupinga. Kila pembe ilikuwa ni "Lowassa fisadi, Lowassa fisadi" alipokosa kuteuliwa kuwania urais wa tiketi CCM akajitoa CCM na kuhamia chadema, akapewa nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya chadema, ghafla chorus ya "Lowassa fisadi, Lowassa fisadi" ikawa inaimbwa na wana CCM.
Sasa karudi CCM nani ataiimba chorus hiyo?
Siasa ni mchezo mbaya sana.
Hasira za nini sasa?Wewe nae mgonjwa kweli, kwani mpaka unione wapi ndio ujue nipo? Pitia profile yangu uangalie posts zangu acha ushamba.
Sishindi JF kama wewe kibarua wa Lumumba.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Dada nimekumiss lakini...!
Tutoe mioyo kwa wanasiasa.!
Kuhama kwa Mjumbe wa Kamati Mkuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Edward Lowassa na kuamua kurejea CCM hivi kweli anamkimbia Tundu Lissu katika kinyang'anyiro cha Urais 2020?View attachment 1035440View attachment 1035441
Inaitwa win win situation!!Wimbo ulianza kwa chadema, hakuna kupinga. Kila pembe ilikuwa ni "Lowassa fisadi, Lowassa fisadi" alipokosa kuteuliwa kuwania urais wa tiketi CCM akajitoa CCM na kuhamia chadema, akapewa nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya chadema, ghafla chorus ya "Lowassa fisadi, Lowassa fisadi" ikawa inaimbwa na wana CCM.
Sasa karudi CCM nani ataiimba chorus hiyo?
Siasa ni mchezo mbaya sana.
Na mahakama ya mafisadi ikaanzishwa.Pole sana wadanganyikaWimbo ulianza kwa chadema, hakuna kupinga. Kila pembe ilikuwa ni "Lowassa fisadi, Lowassa fisadi" alipokosa kuteuliwa kuwania urais wa tiketi CCM akajitoa CCM na kuhamia chadema, akapewa nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya chadema, ghafla chorus ya "Lowassa fisadi, Lowassa fisadi" ikawa inaimbwa na wana CCM.
Sasa karudi CCM nani ataiimba chorus hiyo?
Siasa ni mchezo mbaya sana.