YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Mkuu ile ilikuwa mechi tu Timu ya CCM ilijigawa mara mbili kwenye uwanja wa Siasa goli Moja lilikuwa chadema lingine CCM timu ile ile .Pole. Wachezaji walikuwa ni wale wale wale wa CCM ila magoli yalikuwa tofauti timu ikiwa mazoezini.Si unajua timu ya mpira mazoezi hujigawa.Sasa inarudi tayari kwa mechi 2020 baada ya kufunga mazoezini goli la chadema 2015Nasubir kauli ya dkt slaa kinyesi kimemfuata sebuleni atakimbilia wapi Act au chauma?