Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Nasubir kauli ya dkt slaa kinyesi kimemfuata sebuleni atakimbilia wapi Act au chauma?
Mkuu ile ilikuwa mechi tu Timu ya CCM ilijigawa mara mbili kwenye uwanja wa Siasa goli Moja lilikuwa chadema lingine CCM timu ile ile .Pole. Wachezaji walikuwa ni wale wale wale wa CCM ila magoli yalikuwa tofauti timu ikiwa mazoezini.Si unajua timu ya mpira mazoezi hujigawa.Sasa inarudi tayari kwa mechi 2020 baada ya kufunga mazoezini goli la chadema 2015
 
Kuna siku alienda hospital kumwangalia mgonjwa hakupewa salute na askari, ingawa ni former PM

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Huu ujinga tanzania mpaka lin??

Alipokufa Mtikila...kinguge akaamia chadema .


kafariki Muhaya ....... Lowasa karudi CCM.


Hii nchi haifai...

Namwamin Tundu Lissu tu ambaye mwili wake ulipigwa Risasi 38 .

Anyway, arudi tu ,maana keshajua hana chake, Lissu ni mkubwa kuliko yeye.
 
Mtoa uzi umeikashifu serikali. Unasema mkwe wake sasa ataachiwa huru! Ina maana amewekwa ndani kwa manufaa ya kisiasa? Unasema akiaga dunia mali zake hazitataifishwa! Una maana serikali hii hutaifisha mali ya wapinzani kwa manufaa ya kisiasa? Tafadhali futa kauli yako.
 
Mkuu ina maana Jiwe kashajiona hana tena mvuuto?
Lipo wazi hilo,kila MTU anajua,akigombea 2020 ataiokoa ccm isife,anao uwezo wa kupambana na Lisu

In God we Trust
 
Muzee ana misimamo yake na vision.zake je atakuwa ametimiza na alikorudi atatimiza Yale aliyokuwa anawaza .katika siasa hakuna rafiki Wala adui wa kudumu
 
Ahaa kumbe umeweka kigingi kwenye ushahidi,, basi ushahidi upo na utakuja kuuona tu,vuta subira,,,

Sasa watu aliokuja nao ed low walipewa nafasi za juu ndani ya chama na wakahaminiwa,, sasa wote wameludi ccm.

Utakubaliana na mm kua mwenyekiti alivunja demokrasi ndani ya chama kwa kutoruhusu mchakato wa kuchagua mgombea urais ndani ya cdm,?


Sent using Jamii Forums mobile app

Nakusoma mshua!

Ila si unakumbuka maamuzi yote walipokua wanafanya kipindi kile Lowassa anakuja ilikua ni kamati kuu ya UKAWA yote?

Sidhani kama kuna mahali popote Mbowe alifanya maamuzi pekee yake binafsi bila kamati kuu ya Ukawa wala hata sio CDM pekee yake,ilikua UKAWA yote mzee!

Udikteta sidhani kiivyo!
 
Mzee kaondoka na ramani ya ufipa, lazima watafutane. Mtahangaika sana na mzee huwaga hajibu kitu atapiga kimya tu. Tuliwaambia mbn hata gwanda havai Mara ooh Mara ooh, sasa kiko wapi
Tuambieni ni asset au liability?
 
Jamani huyu mtu ( manywele) tunapaswa kuwa nae makini sana ndani ya chama chetu cha ccm.

Huyu mtu ( manywele) ana agenda gani dhidi ya ccm, kama ni cdm ndio wamemtuma kuja ccm kufanya ujasusi wa kisiasa yetu macho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa za Tanzania bado sana, watu wanajiunga na vyama kwa sababu za maslahi tu hakuna cha itikadi wala sera.

Sasa ili kuthibitisha kuwa vyesi vingi vinavyofunguliwa na serikali mahakamani vina "Political Overtones" ni wazi yule mkwe wake sasa ataachiliwa kwa dhamana.

Na hili sasa liwe fundisho kwa akina Mbowe na wenzake kuwa waache kabisa tabia ya kuchukua "Political Opportunists" kutoka ccm kwani hakuna "Value" yoyote wanayoongezea Chadema mara wanapohamia huko ila ni mamluki tu.

Let him go for he's a big liability to the party, he has added no any value to the party since he joined it over two years a go. No one will regret his departure because he is more of a spent force. His departure is akin to separating grain from chaff.
 
Back
Top Bottom