Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Leo nitakesha kwenye bar kwa furaha ya Lowassa kuondoka cdm. Alaaniwe Mbowe na genge lake kupokea hela ya Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea urais.
Mimi CCM nikupongeze kwa msimamo wako chadema ni kweli post zako zote Pamoja na kuwa chadema ulikuwa humtaki hujawahi mkubali.Nikupongeze kwa kuwa na msimamo uwe sahihi au la unakomaa tu .Kwa hili mwanachadema wewe nakupongeza.Wanaokutukana humu waangalie post zako haujawahi mkubali Lowassa.Ni haki yako kukubali au kukataa mtu hata kama Mbowe hakukusikiliza.
 
Win win loose loose both ends.
Acha tuendelee kukaanga bisbis aka popcorn
 
Wewe nae mgonjwa kweli, kwani mpaka unione wapi ndio ujue nipo? Pitia profile yangu uangalie posts zangu acha ushamba.
Sishindi JF kama wewe kibarua wa Lumumba.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hasira za nini sasa?
 
wewe 2015 lowassa angegombea urais ndani ya CCM kwa sifa mbaya alizokuwa nazo CCM ingepata tabu sana pengine vurugu zingezuka inakuaje mtu mchafu namna ile anashinda urais wakati watanzania wanajua ni mchafu,kilichofanyika pale ni kuokoa CCM na maslahi yao kwani urais upo tu,kama hivi sio miaka mingi lowassa na kundi lake wanaweza ongoza nchi....

Huu ndio upambavu wangu,weka hekima yako wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo niko tips ila ngoja nijaribu kuifinya medula...

Mwanzoni alitumwa kuja kuivuruga Chadema ndo akaja ila hakubvaa gwanda hata siku moja.

Sasa ametumwa tena kurudi kuivuruga CCM sasa sijui zile jezi za Ulipo Tupo zitavaliwa tena...!!!!

Kwaherini, narudi kwenye Mahaba.

Kasie Chuban Matata.
 
wewe 2015 lowassa angegombea urais ndani ya CCM kwa sifa mbaya alizokuwa nazo CCM ingepata tabu sana pengine vurugu zingezuka inakuaje mtu mchafu namna ile anashinda urais wakati watanzania wanajua ni mchafu,kilichofanyika pale ni kuokoa CCM na maslahi yao kwani urais upo tu,kama hivi sio miaka mingi lowassa na kundi lake wanaweza ongoza nchi....

Huu ndio upambavu wangu,weka hekima yako wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaitwa win win situation!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mahakama ya mafisadi ikaanzishwa.Pole sana wadanganyika
 
Aibu kwa wale waliotusaliti 2015 kwa kumleta huyu kiumbe, Mbowe na genge lako siasa za Upinzani zitawalaani kwa miaka mingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…