Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mna akili za kimandazi sana,kwa iyo ccm hakuna watu wanaoweza kuwa Raisi?JPM aongezewe Muda wa kutawala hadi watakapopatikana wapinzani nchini.
Aweeenaaaa. Nafamba kwi....nafula minengeHuwa nawahurumia sana wafia siasa na vyama, ni upumbavu mwingine wa kiwango kikubwa. Eti great thinkers wapo siasani, wanalishana matangopori ya akina Lowasa, Membe, Lissu na mzee baba.
Futseke!!!!
Aliikuta Chadema na ameiachaLowasa anajidhalilisha.
Tunasubiri chorus ya wana Chadema wao ndio walianzisha hicho kibwagwizo cha Lowassa fisadi na walipogeuza gia angani ni wao hao wakabadili kibwagizo kuwa Lowassa fisadi,sasa ndio tuwasubiri Chadema sasa waseme na sio CCM..Wimbo ulianza kwa chadema, hakuna kupinga. Kila pembe ilikuwa ni "Lowassa fisadi, Lowassa fisadi" alipokosa kuteuliwa kuwania urais wa tiketi CCM akajitoa CCM na kuhamia chadema, akapewa nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya chadema, ghafla chorus ya "Lowassa fisadi, Lowassa fisadi" ikawa inaimbwa na wana CCM.
Sasa karudi CCM nani ataiimba chorus hiyo?
Siasa ni mchezo mbaya sana.
UtajijuaKwa uelewa wangu hafifu Lowasa, Sumaye, Slaa, Lipumba, Zito ni wana usalama wakongwe wa Taifa la Tanzania ambao kazi yao kubwa kbs ni kuvivuruga vyama vya siasa visichukue dola kwa namna yoyote ile.
Kuja kwa Lowasa CHADEMA kuondoka kwa Slaa ni watu kazini kubadilishana vijiti ili kazi iende kama inavyotakiwa. Hizi ni mbinu tu za kuviparanganyisha vyama vya upinzani Nchini ili vikose nguvu ya pamoja.
Baada ya uchaguzi mkuu na matokeo kutangazwa watu walitaka kuingia barabarani wakijua kbs wameibiwa kura lakini Lowasa aliwaambia tulieni na wakatulia, hapo alikuwa anatekeleza majukumu yake nasio ya kichama.
Uwepo wa Lowasa na Sumaye ndani ya CHADEMA kulikidhoofisha sana chama kwa hoja zao kuwa chama kisifanye siasa za Kiharakati, hii yote ni mipango.
Inchi imetulia habari ya uchaguzi ishaisha chadema kimevunjwa vunjwa mikono na miguu kwa kunyimwa kufanya siasa hadi kipindi cha kampeni Wazee wanajirudisha kambini taratibu kupokea vyeti vya siri vya heshima.
Sisemi sana huenda akili yangu ni mbovu ila ukichunguza sana kesi ya mh Mbowe unaweza pata kuwa mahabusu au mfungwa mtarajiwa ni yeye mtu mmoja mwingine ni bosheni tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mlipokuw naye hukuweza kuyatanabaisha mapungufu hayo ya maradhi mpaka alipoondoka kweli?!!!..........Hapo mwanzo sikuamini kuwa Lowassa ni mgonjwa[emoji848] leo nimepata jibu
JINALAO NA FAIZA FOX Ndio ccm pekee hapa jukwaani wenye akili ko hata mnapokua mnateleza ni jmbo la kibinadamu tu hivyo basi naungana na wewe kwenye ishu ya lowasa, lowasa ni msafi na alizushiwa tu si ndio wajameni, hata dokta Slaa sasa yupo salama kwenye ulingo wa sasa.Tulimtukana ndio kwa muktadha wa kipindi kile...nyie mlikanusha kwa hiyo na mimi nakanusha ha ha ha
Na ubalozi umwachie nani? Usicheze na njaa mkuuSasa nadhani rafiki yangu nayemuheshimu Dr Slaa atarudi CHADEMA,maana asiyempenda kaja.