Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Nimekaa nimefikiriweeeee kuhusu haya maswali na kila nikicalculate napata majibu ambayo si sahihi, bahati nzuri mwalimu amenielekeza na leo nimepata.jibu ila hili jibu limeniogopesha sana hadi nikashindwa.kuamini
 
Huwa nawahurumia sana wafia siasa na vyama, ni upumbavu mwingine wa kiwango kikubwa. Eti great thinkers wapo siasani, wanalishana matangopori ya akina Lowasa, Membe, Lissu na mzee baba.

Futseke!!!!
Aweeenaaaa. Nafamba kwi....nafula minenge
 
Yaaani leo nacheka sana cdm wote wameamua kumuachia muumba hahahahahaha yaani kila nna msoma naona kaandika kimajonzi hahahhaa lowasa nyoko sana
 
Yote yatasemwa, but the bottomline ni kuwa the mission by Lowasa for CDM was a success. CDM isingelipata wabunge wengi kama ilio nao, madiwani etc!
 
Tunasubiri chorus ya wana Chadema wao ndio walianzisha hicho kibwagwizo cha Lowassa fisadi na walipogeuza gia angani ni wao hao wakabadili kibwagizo kuwa Lowassa fisadi,sasa ndio tuwasubiri Chadema sasa waseme na sio CCM..
 
Sasa nchi inapigwa triple impact Julia fisadi lowassa , kushoto fisadi rostam katikati mzee mzima fisadi mkuu magufuli. Watanzania sijui tumemkosea nini mungu
 
Toka Lowassa kuwe na tetesi za yeye kuhamia CDM kuna watu walijiapiza kuwa haiwezekani, akiwemo msemaji wa chama Tumaini Makene.

Baada ya kuingia chamani, Makene aliacha kabisa kupost humu isipokuwa akiwa na tangazo.

Nadhani atarudi kuwa active.
 
Utajijua
 
Tulimtukana ndio kwa muktadha wa kipindi kile...nyie mlikanusha kwa hiyo na mimi nakanusha ha ha ha
JINALAO NA FAIZA FOX Ndio ccm pekee hapa jukwaani wenye akili ko hata mnapokua mnateleza ni jmbo la kibinadamu tu hivyo basi naungana na wewe kwenye ishu ya lowasa, lowasa ni msafi na alizushiwa tu si ndio wajameni, hata dokta Slaa sasa yupo salama kwenye ulingo wa sasa.
 
Misiba ya sasa hivi sio kama ya zaman ambapo watu walikuwa na huzuni na ukimya ukiyawala sana. Kwa sasa misiba inakuwa ndio
Sehemu ya watu kukutana maana hawajaonana mudamrefu, ndio story za siasa na mpira kwa sana tu. Na hata kesho huko kwa msiba story kubwa itakuwa ni Simba simba, nazaidi ya zote ni Lowasa Lowasa. Na mbaya zaidi kama Mamvi atatokea eneo la Tukio sio ajabu watu wakaanza kuimba na kushangilia CCM CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…