Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Jamani uongo mwingine, haufai hata kidogo, Lowasa huyu huyu mwenye mvi mvi hivi. eti amerudia kula matapishi yake mwenyewe kama mbwa? haiwezekani kwa njaa gani hasa, jaribu gia nyingine ndugu. lengo lako twalijua
 
This is good news.

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Jamani uongo mwingine, haufai hata kidogo, Lowasa huyu huyu mwenye mvi mvi hivi. eti amerudia kula matapishi yake mwenyewe kama mbwa? haiwezekani kwa njaa gani hasa, jaribu gia nyingine ndugu. lengo lako twalijua
 
CCM pambaneni na Jibwana lenu Magufuli linalofanya kila hila kubakia madarakani. Naona Lowassa kapokelewa rasmi na wafuasi wake. Wapi Dkt Slaaaaaaaaaaaa
 
Sio "Sioni" ni "Sioi"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kitu cha kawaida mbona Kenya exits za vyama ni kama mchezaji kuhamia timu nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu nae kanunuliwa?Chadema kwisha ,naona keshagundua hiyo SACCOS ni ya wahuni.
 
Siasa Mchezo mchafu kifuatacho ITV si ajabu Lisu naye akasajiliwa muda si mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu namba nyingine mkuu.risasi 34 bado anatema madini huko abroad unadhani binadamu wa kawaida huyo? Watanzania wenye uchungu na hii nchi wapo wengi tu ni platform tu hawajapata ya kuonesha uwezo wao dhidi ya mafisi wa ccm
 
BUTTER TRADE AT IT'S BEST.
 
Yote yatasemwa, but the bottomline ni kuwa the mission by Lowasa for CDM was a success. CDM isingelipata wabunge wengi kama ilio nao, madiwani etc!
Very well comrade lowassa. Niliwaonya chadema. Wakati wa uchaguzi.. lakin hawakusikia.
Mbowe aliuza gem.. na picha ilikuwa ikionekana waz kuwa kaja kufanya nn.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…