Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Tunajua mali za Rostam ni za Lowassa hivyo wanarudi ccm kuitafuna tena.
Na majuzi Rostam amewapa channel 10 safari ya ikulu imezaa haya
Mtabaki hivyo hivyo na ''mnajua,mnajua ,mnajua,siku zote mnajua hadi kaondoka mnajua ,nyie kweli vichekesho
 
Acheni hilo zee liondoke jamani. Lilininyima kujinafasi ndani ya Chadema asilia. Makamanda hoyeeeee tuanze ukamanda wetu maana wingu limeshaondoka na wamelipokea hukoo vibaraka wake. Chama kizima kimeenda kumpokea huku wanachekaaaaa...!
 
Unaota wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na iwe hivyo, Mungu awalinde hao watumishi wake wasiopiga goti kwa Baali
Lissu namba nyingine mkuu.risasi 34 bado anatema madini huko abroad unadhani binadamu wa kawaida huyo? Watanzania wenye uchungu na hii nchi wapo wengi tu ni platform tu hawajapata ya kuonesha uwezo wao dhidi ya mafisi wa ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani CCM impige risasi 38 aka survive halafu tena arudi ccm.unadhani atakuwa so mzima kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…