Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Zingekuwa zaidi, lowasa ndo alifunga mdomo chadema wengi wasiongee hata wakiongea hawajiamini , kumpokea ilikuwa sawa lakini kumpa nafasi kugombea ilikuwa kosa ambalo halitasahaulika na limepotezea chadema sifa nyingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi cha kampeni kuna kundi ndani ya ccm lilimkashifu sana Lowassa sasa sijui nao watakua kwenye hali gani sasa kwa sababu wanajua fika kuwa yuko karibu na mwenyekiti wao
 
Kabisa mwezi huu hauishi watakuwa huru utakuwa ni uthibitisho mwingine mkubwa jinsi dikteta anavyoingilia uhuru wa mahakama vile atakavyo yeye.

wanaachiwa kwa NOLLE muda wowote, kuwa DPP hana nia y'a kuendelea na kesi, au wataomba wakumbushwe shtaka, then wanakubari wanapigwa faini habari imekwisha,

LOWASA amejishushia heshima, ni bora angestaafu siasa tu yule baba
 
Mkuu umeeleweka vilivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yajayo yanafurahisha. Ruge amekwenda na kuacha pengo katika fani ya sanaa ya muziki. Leo Mwili wake umewasili nchini kutokea Afrika Kusini. Ujio wa mwili wa Ruge umekumbana na tukio la "Ulipo Tupo..." akikimbia kambi.

Msiba wa Ruge umesikitisha...., Lowasa kurudi CCM ni pigo takatifu kwa upinzani. Je, upi sasa ni mwelekeo wa CHADEMA bila Lowasa?

Msiba, msiba, msiba, msiba!
 
Lowassa karudi CCM kabla ya Lowassa Mwenyewe kujua Kuwa karudi CCM

Lowassa karudi CCM Siku Rostam alipokaribishwa Chai Ikulu Na Mzee Baba

Nguvu ya Rais Magufuli Kwenye Uchaguzi wa 2020 panapo uhai haimithiliki!

Kushoto Jk, kulia Rostam, Pemben Ngoyai
Hahahahaha
 
Sio kweli Dr. Slaa alitaka lowassa aje awe Kama mwanachama was kawaida Ila mkakimbilia kumtukana Leo yametimia

Zipo nadharia mitaani kuwa Lowasa alikuja ukawa kimkakati ili kuokoa ccm isife 2015 wakijua atashinda Lkn awe ni MTU wa kuyakubali matokeo kuliko upinzani angesimama Mbowe asingekubali kuibiwa ushindi, thus hakuwahi rudisha kadi ya ccm,hivo kurudi ni kusadikisha haya.Ngoja tuone upepo wa 2020 utakavokuwa.Ccm mpya haiuziki mtaani imevuruga kila sehemu haina uwezo wa kupambana na Lissu
 
Sio rahisi kwa maana sasa tumbo limejaa na huku CDM hakuna ulaji ni upiganaji tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…