Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Jiwe nafasi yake iko kwenye line ndani ya CCM come 2020.
Hawa CCM makinikia aliojaribu kuwaleta hawajamsaidia.
Lowassa was his last resort.
 
You are wrong, tumeichoka ccm. Alikuja akakikuta chama. Ameondoka chama kipo. Tume huru ndo isue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa iyo PhD ya korosho na kupotea kwa Ben sa8 hukuelewa?? Huna elimu wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haaaaa na iwe kweli wakulane wenyewe maana kuna kale kausemi mpe mwanao mchawi akulele
 
Kwa upande wa chadema anefaa kw sasa inaonesha kuwa ni Lissu ndo mwenye mvuto wa kisiasa na ameonesha nia ya kugombea 20/20 soo upepo haupo kw lowasa kw sasa na ameona hawez kumzuia lissu kugombea badala yake emeona arudi alikotoka. Pengine chadema walifanya makosa kumpokea na kumpa nafasi ya kusimama kama mgombea urais. Siwalaumu chadema kwani hili ni funzo kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha. Wanaofuatilia siasa za TZ kwa umakini sana wanaelewa huu uzi una uzito gani
Ule msemo wa " everything in politics is being engineered" utajidhihirisha very soon.

Naona the mastermind are back!

Mchezo upo dakika ya 40 now..

 
Si mmwambie na sumayi arudi ,halafu sijui na mashamba yake mtamrudishia .kuja na kuondoka kwa lowasa vyote vimeinufaisha chadema zaidi kuliko hata yeye mwenyewe lowasa njia nyeupe kwa Lissu Mungu mkubwa .
 
Kama ni nyumbani kwako unahaki ya kurudi uwaachie wenye nyumba yao.
 
Ukaungane na watu wasio na msimamo? Si unaona leo wanavyomtukana Lowasa? Chadema wanaishi kadri upepo unavyovuma!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Slaa ana msimamo gani hadi akaenda kuungana na wale aliokuwa akiwatuhumu kuhusika kwa maovu yote ya nchi hii?

Huyo Dr Slaa aliyesema kuwa shambulio la mh Lissu ni la kawaida sana ndio unamuona mfano wa watu wenye misimamo?

Dr Slaa njaa tu inamsumbua

Masikini hana kiapo



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…