Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Ila hawa jamaa bhana!

Walianza kwenda magogoni mmoja mmoja ....!

Leo wote 3 wametokea mlango wa mmoja Lumumba...
 
Niliwadharau saaana chadema walipomkaribisha huyu jasusi kikongwe kwenye chama chao na bad enough wakampa nafasi ya kugombea uraisi

Hakika pengo la Dr SLAA halitozibika

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
King maker RA ndani ya nyumba, kuna kitu kizito bila shaka kinaendelea woga umetanda lazima wahuni watafutwe wapambane na mhuni mwenzao maana hasomeki na inaonyesha kama anacheza karata zake vizuri hivi kupitia vijana wake.. Ngoja tuone mchezo sasa..
Utasubiri sana. Ccm ile ile.Ile inaitwa silent HANDSHAKE.Kama Raila na Kenyatta
 
Yajayo mazuri kuliko Jana,Tunatambua mpera mpera wa EL 2015 vs SISIEMU,hatuwezi beza mchango wake!
 
Ameamua kutokana na matusi aliyoyaambulia pale alipouliza pesa za ruzuku wakati jamaa yake yuko gerezani na kutukanwa maneno machafu aisee !! kumbuka maulizo hayohayo ndo yaliyo mfukuza zitto na hata chachawangwe mpaka akaambulia mauti aisee hata mie naacha UCHADEMA
 
Kutokana na umri mkubwa wa chama cha CCM, watu wengi wenye kasoro wamejiingiza kwenye chama hiki. Sasa kimekuwa kama dodoki ambalo linabeba vitu visafi na vichafu. Sasa tumekuwa na watu wa ajabu sana ndani ya chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…