Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Usiwasemee watu yaliyo mioyoni mwao, ni uchuro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliisubiri hii Siku kwa hamu kuwaona kina maalim seifu na mbowe wakiumbuka. Lipumba roho ilimsuta aliona mbali. Hence proved prof ni prof tu
MNAPOMZUNGUMZIA LIPUMBA SIKU ZOTE HUWA NAJIULIZA IVI ALIWAKOSEA NINI WANYAMWEZI NA WASUKUMA WA TABORA SIJUI KWANINI HAKUBALIKI KWAO TABORA TOFAUTI NA WENZAKE AKINA SEIF NA MBOWE WAKIWA KWAO

TAFADHALI WANYAMWEZI WA TABORA HEBU NJOONI MTUAMBIE KWANINI LIPUMBA ALICHOWAKOSEA WANA MBOKA MANYEMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa ni unywanywa mtupu, ndio maana sipend hata kuisikia, 99% ya wanasiasa wote ni wachumia tumbo na wanafiki, si ccm, si chadema na wengineo.

Sent using my nokia ya tochi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji123][emoji41]
Hata taswira yake wakati anakaribishwa lumumba inaonyesha ni mtu mwenye huzuni na wala hana bashasha yoyote anaonekana yupo katika shinikizo ambalo yeye binafsi hana uwezo wa kulikwepa.

Maendeleo hayana chama
 
Kwa hiyo Lowasa kampoteza kingunge hata kuzimu?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nassary na Mnyika hawakukubaliana na Lowasa kuingia Chadema ila walimvumilia kwa maslahi ya chama.

Baada ya mzee kuondoka Nassary ameamua rasmi kurejea kwenye siasa na hasa JIMBONI huku Mnyika akipata furaha upya kuendelea kupigania mabadiliko ya kweli.

Awali Nassary alipanga kupumzika siasa au kwenda CCM kumkwepa Lowasa lakini naamini kwa hiki kilichotokea atakuwa amefarijika na anaweza kuacha mpango wake huo wa kumwendea adui yake.

Nadhan Sasa cheche za siasa kutoka kwa vijana zitarejea upya kama cyo Chadema Basi ACT au CUF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…