Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Amekosea sana,angesubiri mpaka 2020 kuelekea uchaguzi awavuruge kwanza ndo asepe.Chickens coming home to roost never did make me sad,
naomba kuuliza...kwa hiyooo, ina maana Mwanakijiji atahama CCM kwenda CCJ sasa??Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa Amerejea Rasmi CCM Leo.
Amepokelewa Lumumba Makao Makuu Madogo Ya Chama Cha Mapinduzi Na Katibu Mkuu Dr Bashiru Ally.
View attachment 1035375View attachment 1035381
Ujui ulisemalo wewe CHADEMA ni zaidi ya uijuavyo!
Ccm siku mkiacha kutumia vyombo vya sheria na polisi ndio siku mtaijua nguvu ya CHADEMA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huamini nn,? Hii ndiyo Tanzania bhana, wenye uelewa mpana tulijua kuwa huyu hakuna kwaajili ya kugombea urais, Bali kama jasusi cdm hamkuelewa.
Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa Amerejea Rasmi CCM Leo.
Amepokelewa Lumumba Makao Makuu Madogo Ya Chama Cha Mapinduzi Na Katibu Mkuu Dr Bashiru Ally.
View attachment 1035375View attachment 1035381
mapambano bado yanaendelea comradesLowassa angetumika 2020 kuwatuliza upinzani endapo wangeibiwa kura.
Bora arudi upinzani ubaki na watu wenye maamuzi magumu.ndio wataweza kwenda jino kwa jino na ccm.
Mzee pumzi ilikata ,japo anaushawishi lakini ameugharimu sana upinzani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo basi tena kashafunika msiba wa Ruge kwenye head line
kumbe lipumba alikua yuko sawa.Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa Amerejea Rasmi CCM Leo.
Amepokelewa Lumumba Makao Makuu Madogo Ya Chama Cha Mapinduzi Na Katibu Mkuu Dr Bashiru Ally.
View attachment 1035375View attachment 1035381