Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Huamini nn,? Hii ndiyo Tanzania bhana, wenye uelewa mpana tulijua kuwa huyu hakuna kwaajili ya kugombea urais, Bali kama jasusi cdm hamkuelewa.

Haya sasa fisadi aliyekimbiwa na Slaa huko chadema kamfuata huko huko ccm.
JE SLAA ATAJIUZURU UBALOZI KWA KUSIMAMIA KAULI YAKE?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1551452928054.png
 
Lowassa angetumika 2020 kuwatuliza upinzani endapo wangeibiwa kura.

Bora arudi upinzani ubaki na watu wenye maamuzi magumu.ndio wataweza kwenda jino kwa jino na ccm.

Mzee pumzi ilikata ,japo anaushawishi lakini ameugharimu sana upinzani

Sent using Jamii Forums mobile app
mapambano bado yanaendelea comrades
lowasa hakua na influence chadema alkua tuu kama picha
off course niliimisi chadema ya harakati maana jiwe bila harakati halita toka

membe akija chadema naomba asigombee, chama kirudi kwa wenye chama
 
Dirisha la usajiri mdogo lililokuwa limefungwa Lowassa kalivunja na kutumbukia mzima mzima.
 
Back
Top Bottom