Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kumuona CDF katika hiyo Picha nikajikuta namdharau Mleta uzi na kumuona takatakaMzee kaamua kurudi nyumbani, kaona alipohamia ni uhuni tuuView attachment 1035352
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepokea simu ya moja kwa moja kutoka kwa mtu makini sana kwamba Lowassa anarejea CCM
Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa Amerejea Rasmi CCM Leo.
Amepokelewa Lumumba Makao Makuu Madogo Ya Chama Cha Mapinduzi Na Katibu Mkuu Dr Bashiru Ally.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo kesharudi zamani sanaNimepokea simu ya moja kwa moja kutoka kwa mtu makini sana kwamba Lowassa anarejea CCM