Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Nililitegemeaaa sana hilii na moyooo wangu kuanzia sasa umerudi rasm CHADEMA. Kati ya vitu ambavyo Chadema tulikosea ni kuupokea uujio wa huyu mzee hakuwa na Afya kwa maana ya Kuimarisha na kuifanya Chadema ishinde. Huuu mkakatii umefanikiwa kwa 100%.

Swali nalojiuliza je kumbe hata ule mpango wa Fredy Lowasa kutangaza kugombea baadae kuacha ulikuwa mkakati wa kudhoofisha ushindi??.

Viongozi wangu wa Chadema intelejensia yetu ilikomea kufanya kazi kwa Zitto pekee??.
 
Ama kweli mzee kabanwa kila sehemu,mme wa mwanae leo mwaka wa ngapi sijui yupo Lumande. But why wanatangaza ndani ya kipindi cha msiba wa Taifa?
 
Kweli siasa mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
1551452175936.png

Kama ni kweli basi hii ni habari mbaya kuliko hata taarifa za kifo cha Ruge.
Hii inadhihirisha UNAFIKI NA UNDUMILA KUWILI WA TABIA ZA KITANZANIA HASA MAJITU YA CCM...!!!Kwa muktadha huu nchi hii bado inasafari ndefu sana ya KUJIKOMBOA KIFIKRA KWA WATANZANIA. It may take another century to change the mindset of Poor Tanzanians.....so sad to speak!!
 
Sikuwaamini hawa tangu siku ya kwanza na ushahidi wao ni kimya chao kizito ndani ya Chadema kuhusu dhuluma mbali mbali nchini.

Ni Malaya wa kisiasa hawa wote wawili wanaojali matumbo yao zaidi kuliko maslahi ya Watanzania na Tanzania.

Niliwasema hawa watu baadhi ya wafuasi wasiojua siasa wakanitukana lakini ukweli ni kwamba Lowassa na Sumaye hawajawai kuwa wapinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom