Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa nadhani rafiki yangu nayemuheshimu Dr Slaa atarudi CHADEMA,maana asiyempenda kaja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Reposted from @edokumwembe - Amerudi CCM....Amerudi kundini rasmi... Safi sana... Ilitabirika...naomba nihifadhi comments kwa sasa... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] - #regrann
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawanaga akili hao ni sawa na mbwa mwitu tu
Kada wa CCM Mbowe bado atabaki Chadema na aliwekwa jela ili wajinga wamfananishe na Mandela ili mbaki kuwa na imani nayeLeo nitakesha kwenye bar kwa furaha ya Lowassa kuondoka cdm. Alaaniwe Mbowe na genge lake kupokea hela ya Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea urais.
[emoji23][emoji23][emoji23]alianzisha Kilimo cha miwa karibu na Shule Ya msingi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Very true.Hana impact Chadema huyo ni Liability
Kwa ufupi Waziri Mkuu mstaafu ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Frederick Sumaye amesema uamuzi uliochukuliwa na Edward Lowassa kurejea CCM hauwezi kuwateteresha
Behind the scene!Lipo wazi hilo,kila MTU anajua,akigombea 2020 ataiokoa ccm isife,anao uwezo wa kupambana na Lisu
Nasubir kauli ya dkt slaa kinyesi kimemfuata sebuleni atakimbilia wapi Act au chauma?Kada wa CCM Mbowe bado atabaki Chadema na aliwekwa jela ili wajinga wamfananishe na Mandela ili mbaki kuwa na imani naye
Sent using Jamii Forums mobile app