Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

CCM ni moja tu na haitakaa ibadilike.......kila mmoja ni mwizi na mlafi kwa namna yake. Huyu bwana alipoingia madarakani mbwembwe na fujo zilikua nyingi sana tukaaminishwa kwamba huyu ni tofauti!!!

La hasha! Ilikua ni janja ya kupumbaza watanzania tunaominika kama binadamu tusiopenda kushirikisha bongo zetu tusijue kwamba na yeye ni shimo refu la kumeza UCHUMI WETU WOTE.......

Lowasa aliandamwa sana na team ya huyu bwana wa magogoni wakiongozwa na BASHITE na MUSUKUMA, lengo lao lilikua kuendelea kumfarakanisha na watu ili uovu wao wa kumfilisi usipate vipingamizi vingi.....lakini sasa jitu kama Lowasa lina mirija mirefu, wakalishindwa, imebidi waamue kuungana nalo....kwanini? Kwasababu WAMESHATAFUNA KAPU KUU LA KUHIFADHIA PESA LIMEISHA...UCHAGUZI UNAKUJA CAMPAIGN WATAFANYAJE NA HUKO NJE WAHANA ATM??? inabidi sasa ATM iwe LOWASA na ROSTAM....

LOWASA SASA BIASHARA ZAKE KWA MWAKA MMOJA ZITA CHANUA SANA...HATA BWANA STAM....kama hali ndiyo hii watanzania tuchukueni maamuzi magumu TUANDIKE HISTORIA...huyu bwana Chato tumpige chini na GENGE lake 2020. Hapo tutakua salama....VINGINENVYO!!!!!!TWAF
 
Unadhani kufanya siasa nchi hii lazima uwe mbunge au rais? Huu ushauri tunaona ukitolewa sana, lakini sababu ya hofu hii ni uwezo wa Lissu kujenga hoja kumfananisha na Magufuli. Wanaotoa ushauri huu wanaogopa Magufuli asikutane na wakati mgumu kama JK aliokutana nao uchaguzi wa 2010 dhidi ya Slaa. Ni hivi Lissu atagombea huo urais na mjiandae kutumia nguvu ya jeshi kupora ushindi wake.
Tegemeo LA CCM na Magu kwa ujumla no vyombo vya dola kamavile time ya uchaguzi,police na mahakama. Nje ya hapo hawawezi shindana na CDM. Si hivyo tu Bali hata upataji wao uungwaji mkono unategemea kuitumia serikali kutoa feva flani flani kama vile teuzi, ajira, nafuu za kodi n.k.
 
Tegemeo LA CCM na Magu kwa ujumla no vyombo vya dola kamavile time ya uchaguzi,police na mahakama. Nje ya hapo hawawezi shindana na CDM. Si hivyo tu Bali hata upataji wao uungwaji mkono unategemea kuitumia serikali kutoa feva flani flani kama vile teuzi, ajira, nafuu za kodi n.k.

Kula tano mwanangu.
 
Halafu naona kama hawajafanya timing vizuri vile labda ingekuwa 2020!

2020 hawa wote kiboko yao lissu , kwanza hayupo anayemfikia kwa kujenga hoja!
Kitakachobaki kwa upinzani ni kuhimiza vjana Wengi waone umuhimu wa kupiga kura tu!
Hilo la muda hawajaliona kabisa, na nadhani kosa hili linaonesha weledi ndani ya ccm umetoweka kabisa.
1.Ni fatal Lowasa kurudi sasa kwa sababu hakutaitikisa chochote CDM.
2.Tukio la Lowasa kurudi ccm lilitakiwa kutengeneza mvuto mkubwa, hivyo kulitekeleza katikati ya msiba wa Ruge ambao ccm imeuteka ni kulifanya lionekane hafifu na lisilo na umuhimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni nani kati yenu aliyewahi kumuona Lowassa kavaa gwanda hata siku moja?
 
Kuna conflict kwenye kichwa cha mleta mada. Yaani processor na The RAM zime collapse huko upstairs.
Ungeonekana wewe zimo kama ungesema hoja yako...lakini kwa ulivyojibu!!!!wewe ni HAMNAZO
 
Back
Top Bottom