Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Ikitokea mwanasiasa katoka CCM kaenda CDM, wana CCM hawatoi povu sana ikitokea kinyume chake! Yaani napitia mitandaoni hapa sakata la kuhama kwa Lowassa na leo Mgeja kurudi CCM yani wana CDM wanamwaga povu kama loote asee!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna maneno mwanaume hutakiwi kuandika wala kuongea
 
Ikitokea mwanasiasa katoka CCM kaenda CDM, wana CCM hawatoi povu sana ikitokea kinyume chake! Yaani napitia mitandaoni hapa sakata la kuhama kwa Lowassa na leo Mgeja kurudi CCM yani wana CDM wanamwaga povu kama loote asee!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38][emoji38]Majuzi kati nlicomment kwenye clip ya lowasa Youtube kuwa sipati picha kina Mgeja watakimbilia wapi[emoji38]
Kumbe nae karejea CCM[emoji38]
Kweli Mwlm hakukosea kusema wapo wanasiasa Malaya Malaya Malaya[emoji38]
Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya Mwlm Nyerere[emoji1317]
 
Ndugu wana jamvi.
Siasa ndani ya nchi ni mali ya GENGE.Genge (syndicate) tafsiri yake ni kundi la mwisho lililo na mamlaka katika kuendesha jambo.Kiuhalisia magenge yako kala mahala penye maslahi,kuanzia serikalini hadi kwenye maisha yetu ya kawaida mtaani.

Hivyo basi katika swala zima la kisiasa kuna kundi la juu ambalo lenyewe pamoja na vizazi vyao ndio huwa wanufaika na michakato yote ya kisiasa na utawala ndani ya nchi!.Katika tasnia nzima ya siasa kuna msemo maarufu usemao "Kula lakini usilize meno",hapa wanasiasa wanamaanisha mwanasisa yoyote hutazama tumbo lake kwanza na si la mwananchi lakini usiibe kiholela wananchi wakaona!

Kiuhalisia raia ndio wamiliki wa mali zote za nchi lakini wanasiasa kupitia sanaa iliyotungiwa sheria za kuheshimiwa kuliko vitu vyote nchini ndio wanufaika wakuu wa mali hizo,kikubwa ni kuwa bingwa wa kucheza na maneno!.Hapa ndio maana tunawaona watu wote kuanzia wasomi,wafanyabiashara na raia wa kawaida tunazitolea macho fursa za kisiasa!

Swala lililotokea hivi karibuni la mh.Edward N.Lowassa kurudi CCM ni fundisho tosha kwa Watanzania juu ya kufahamu michezo ya wanasiasa!.Hapo mwanzo Lowassa na timu yake walipishana maneno na wanagenge wenzao,hali iliyopelekea Lowassa na timu yake kutimka.

Lakini tuje katika ukweli halisi,CCM ni mali ya Genge.Genge ambalo limejitosheleza katika mbinu na silaha za kujilinda.Genge hili linamiliki idara ya usalama TISS,l jeshi la polisi,jeshi la wananchi na majeshi mengineyo,hivyo inakua ngumu kwa mtu anaepingana na genge hili kupata ushindi kirahisi.

Kutoka na kurudi kwa Lowassa kute kunajiri kipindi ambacho inchi inajiandaa na harakati za uchaguzi mkuu.Sasa swali tunalopaswa kujiuliza ni je Lowassa si mtu anaetumika na genge kwa maslahi yao?.Kwa maana sifa kuu ya wanagenge ni kwamba wazungumzayo ndani na nje ni vitu viwili tofauti!.

Hivyo wanachi yatupasa tuwajue wanasiasa na michezo yao,maana yote wayafanyayo ni kwa maslahi yao na si yetu.#Tz tuamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Miaka michache iliyopita wafuasi wa Chadema waliamua kumuunga mkono rais wa Kenya ndugu Kenyatta katika kinyang'anyiro cha urais huku wakitoa kejeli,vijembe na dharau kwa mgombea urais wa upinzani Ndg.Raila Odinga.

Ajizi nyumba ya njaa, wafuasi wa Chadema walienda mbali wakimsifia Uhuru Kenyatta kuwa ndiye "Rais wao" wakitamani "awatawale".

Je Chadema wataendelea kumuunga mkono Uhuru Kenyatta na vyama tawala au watageuka na kutubu makosa yao na kuunga mkono vyama vya upinzani?

Hoja kwa hoja bila matusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo genge lina wafuasi wake watiifu humu. Litakuja na kejeli za kila aina ingawa ulichoandika ni ukweli mtupu.
 
Ambacho hukuelewa ni kuwa wapenda demokrasia na amani tulimsifu namna Uhuru alivyo handle situation iliyokuwa ina prevail Kenya.

Hakutumia mabavu dhidi ya upinzani na hakuzuia wapinzani kufanya demokrasia. Pamoja na mbwembwe za kichokozi za Odinga lakini Uhuru pamoja na kuwa na mamlaka yote lakini ali practice democracy and free and fair election.

Tulimsifu kwa hilo na tukasema angekuwa malaika basi angetumia umalaika wake kuwafanya wapinzani waishi kama mashetani.

Get the point. Usikurupuke.

Uhuru ni mfano wa kuigwa na ataungwa mkono na CHADEMA na wapenda amani wote.
 
Somo linaweza kueleweka.... lakini sina uhakika kama uelewekaji wake utatusaidia.
 
N
Ambacho hukuelewa ni kuwa wapenda demokrasia na amani tulimsifu namna Uhuru alivyo handle situation iliyokuwa ina prevail Kenya.

Hakutumia mabavu dhidi ya upinzani na hakuzuia wapinzani kufanya demokrasia. Pamoja na mbwembwe za kichokozi za Odinga lakini Uhuru pamoja na kuwa na mamlaka yote lakini ali practice democracy and free and fair election.

Tulimsifu kwa hilo na tukasema angekuwa malaika basi angetumia umalaika wake kuwafanya wapinzani waishi kama mashetani.

Get the point. Usikurupuke.

Uhuru ni mfano wa kuigwa na ataungwa mkono na CHADEMA na wapenda amani wote.
Na unga mkono hoja
 
Ok bado ni wafuasi wa Uhuru?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mamvi kuondoka kwake ni Kama vile hakujatokea kitu, yaani Ruge amemzima mojakwamoja na wala hakuna shock yyte kitaani sijui zama zake ndo bye [emoji112]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafuasi wa genge kukejeli na kutusi ni kawaida kwa sababu ni wanufaika,lakini ifike mahala wananchi tukatae uzoba!.Wanasiasa wakikaa majukwaani utawisikia"Mimi silali usingizi sababu ya wananchi wangu" wakati huo anaendeshwa na v8 new model na kitambi kinatoa jasho!Hivi kweli anaepata tabu sababu ya wananchi anaweza kuhonga pesa apite yeye wakati kutumwa ni utumwa!
Hilo genge lina wafuasi wake watiifu humu. Litakuja na kejeli za kila aina ingawa ulichoandika ni ukweli mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom