Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Tusiwalaumu watanzania watu wa ajabu ,yaani MTU anawapigania ,anaumia ,anateseka , anapoteza Mali ,anapoteza biashara zake ,marafiki halafu anaowatetea hawaelewi wala hawajielewi ,MTU anachoka anaamua kuchukua hela na kupiga maisha maana anaowatetea hawajielewi moshi wa mwenge umewamaliza .
 
Hakuna mwanasiasa asiyetea tumbo lake.huna akili kama unaamini wanafanya hayo yote kwa moyo.they are after something huu ndio ukweli ukitaka kuamini fikiria hapo ulipo Kama unaweza kufanya kazi hio bure
 
Tusiwalaumu watanzania watu wa ajabu ,yaani MTU anawapigania ,anaumia ,anateseka , anapoteza Mali ,anapoteza biashara zake ,marafiki halafu anaowatetea hawaelewi wala hawajielewi ,MTU anachoka anaamua kuchukua hela na kupiga maisha maana anaowatetea hawajielewi moshi wa mwenge umewamaliza .
Hahahahaha moshi wa mwenge kizazi kilichokimbiza mwenge kinashida hiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanasema hivi:- Rudi nyumbani kumenoga
#TanzaniaKwanza
4.JPG
 
Back
Top Bottom