Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
Kosa ambalo Mbowe na CHADEMA watalijutia maisha yao yote,ndio kosa ambalo vijana wa CCM litawapa wakati mgumu kuliko kipindi chote kama kile kinachotazamiwa Mzee kukiongea kitatimia.
Wale waliosema wanakimbia CHADEMA sbb "mafisadi" wote wamehamia huko,na wale waliosema CCM sasa ni safi sababu mafisadi wapo CHADEMA.
Ili mbegu iote,ni lazima ife,ioze na hatimaye ichipue.Ukweli ni kuwa,maisha ni magumu,uchumi umeyumba,demokrasia imelegea na hakika,haki za watu kuishi zipo mashakani...Katika ukweli huu,hakuna mwenye utimamu anaweza kuupinga...Kuishi Upinzani katika Afrika,ni kukaa jehanamu ndogoo
Kaa chini tukuletee maji ya kunywa mzee unaonekana umeanza kuchanganyikiwa!