Tetesi: Edward Lowassa na Frederick Sumaye mbioni kurejea CCM

Poise,
Siwezi kushangaa kama huyu Nape alivyomsema EL ila alipovuliwa uwaziri akili ilimrudi akasema atamuomba msamaha huyo Mhe. EL kwa hiyo kuhamia kwake huko ccm inawezekana kabisa.

Siasa za Africa na bongoland ni; tumbo oriented nothing else.
 
Kwani lowasa amewakosea nini hadi mmuhofie kuludi ccm.

Mimi natamani aludi ili wamuondoe yule mungu mtu.
 
Hahahah huyu ni Morani......ni heri afe kuliko kulamba matapishi. (Acheni kumlisha maneno).
 
Naomba ufafanuzi wa jinsia yako kama wewe ni me au ke
 
Mm napenda aendelee kubaki huko chadema ili aendelee kuwachchafya zaidi hawa chadema waliomuita fisadi kwa muda wa miaka 8
 
Mkuu umepotea sana humu. Mimi nilidhani ungepata japo nafasi moja ya uteuzi kutokana na jitihada zako za kukipigania chama humu JF. Vipi mbona jamaa wanakupotezea? Ina maana hawakuoni nini?!
 
Akiondoka chadema, itakuwa nafuu kubwa ila aondoke na Mbowe na Lissu na Lema na Sugu na Msigwa na prof J. Bila kumuacha nyuma Salum mwalim.

Kisha Dr Slaa arejee chadema turudi tuanze upya
 
Pole, ukitaka kuijua siasa tazama Zimbabwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…