Tetesi: Edward Lowassa na Frederick Sumaye mbioni kurejea CCM

Tetesi: Edward Lowassa na Frederick Sumaye mbioni kurejea CCM

milango iko wazi. walitoka CCM hivyo wakiamua kurudi haidhuru. Chadema ni ya watanzania
 
Pamoja na Chadema kupoteza mwelekeo lakini bado mna hofu na Chadema kufanya mikutano nchini kwa kuivuruga kupitia polisiccm. Bado mnahofia uchaguzi huru na wa haki kupitia rasimu ya Warioba na Tume huru ya uchaguzi!!!! Kweli Chadema imepoteza mwelekeo kama bado mnaihofia kiasi hiki.
Mkuu achana na hao wazushi na waongo. Wamezoea uongo mpaka wanasema meli ya kijeshi ya China wamelipia ilete matibabu kwa wananchi bila hata haya. Nasikia Mkwere aliposikia hayo akiwa huko Morogoro alicheka kidogo azimie!
Hawa wamezoea uongo kuanzia baba yao, huyo sijui anaitwa Grace mpaka hawa vuvuzela wa JF.
Mzee Lowassa juzi kashindwa kupita pale Moshi kutokana na umati uliokuwa umejitokeza kumuunga mkono, jee wale walikuwa wana ccm mpaka aamue kuwarudia?
Mie siku hizi hata hizi nyuzi zao nazikwepa kwani uongo wao wanashindana na uchwara kuona nani zaidi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
WEWE NI UCHUMIA TUMBO NDIYO UNAKUSUMBUA NA LAANA YA KUTAFUTIA KUTEGEMEA NA KUCHUMIA TUMBO....NA MZIDI KULAANI KWA KUTEGEMEA VIUNGO VYA MWILI NA WANA WA ADAM ILI MUISHI NA WATU WOTE WASEME AMINA.
Kuna wenzako walikimbiaga post zao
 
Wadau, amani iwe kwenu,

Ni dhahiri kwamba Lowassa na Sumaye hawana amani ndani ya CHADEMA. Hawana dira wala mwelekeo. Kila wanalopanga halipangiki na CHADEMA hakionekani kuwa chama chenye mwelekeo wa kushika dola.

Kamera ya Lizaboni imenasa kikao cha mkakati wa Lowassa kutaka kujiengua na CHADEMA na kurejea CCM. Kwa sasa anaendelea na mazungumzo makali na baadhi ya wafuasi wake waliobaki CCM ambao wamemgomea kwenda upinzani. Kilichomshtua zaidi Lowassa ni hili wimbi la sasa lililoshika kasi la viongozi na wafuasi wa chama ambao aliona kuwa ni kimbilio lake wakimkimbia na kujiunga na CCM.

Je, viongozi wangu watampokea Lowassa? Mimi nasema wasiwe wepesi kukubali ujio wa Lowassa. Ni vema tukafunga gate valve ili asiruhusiwe kurejea tena chamani. Ameshaivuruga CHADEMA na sasa anataka kurejea tena CCM na kutuvuruga. Nasikia anataka kurejea kabla ya uchaguzi wa ndani wa CCM ngazi ya Taifa. Tusiruhusu jinamizi likatukumba tena ndani ya CCM.

Lowassa hawezi kuondoka chama alichokinunua kwa mabilioni ya pesa nyingine za kuchangiwa ikiaminika atawarudishia fadhila akiingia Ikulu. Of course Lowasa anajua Ikulu kamwe hataingia na baadhi ya wanaCDM wanamwona liability lakini je aondoke? Lowassa ana-recoup baadhi ya kiasi alichotoa kinunua CDM kwa kupokea kiasi kikubwa cha ruzuku ya kila mwezi na hiyo inawaudhi baadhi ya wanachama
 
Wadau, amani iwe kwenu,

Ni dhahiri kwamba Lowassa na Sumaye hawana amani ndani ya CHADEMA. Hawana dira wala mwelekeo. Kila wanalopanga halipangiki na CHADEMA hakionekani kuwa chama chenye mwelekeo wa kushika dola.

Kamera ya Lizaboni imenasa kikao cha mkakati wa Lowassa kutaka kujiengua na CHADEMA na kurejea CCM. Kwa sasa anaendelea na mazungumzo makali na baadhi ya wafuasi wake waliobaki CCM ambao wamemgomea kwenda upinzani. Kilichomshtua zaidi Lowassa ni hili wimbi la sasa lililoshika kasi la viongozi na wafuasi wa chama ambao aliona kuwa ni kimbilio lake wakimkimbia na kujiunga na CCM.

Je, viongozi wangu watampokea Lowassa? Mimi nasema wasiwe wepesi kukubali ujio wa Lowassa. Ni vema tukafunga gate valve ili asiruhusiwe kurejea tena chamani. Ameshaivuruga CHADEMA na sasa anataka kurejea tena CCM na kutuvuruga. Nasikia anataka kurejea kabla ya uchaguzi wa ndani wa CCM ngazi ya Taifa. Tusiruhusu jinamizi likatukumba tena ndani ya CCM.
Maajabu sasa CCM wanambembeleza fisadi Lowassa
 
Watabili butu na wanasiasa mnatuchanganya mtuache tupambane na maisha
 
Bora nipigwe risasi mchana kweupe nife,kuliko kujiunga na ccm.
 
Nilidhani hii kiki ya leo ya wale wapinzani 6 kurejea CCM itawasahaulisha wanadarisalama habari za Dr Shika, kumbe wapi 900 itapendeza bado inashika usukani. Labda siku baba la upinzani Lowasa atakaporejea CCM ndipo Dr Shika ataanza kusahaulika. Dah nawaza tu waungwana!!
 
Hii ungehamishia jukwaa la Utani ingependeza

Sidhani kama Lina utani, hata lowassa kasoma uzi huu NA katoa jibu kuwa ni ndoto NA hatorudi ccm. Huu uzi kama umegusa pahali pabaya au kuna kaukweli kwenye yaliyoandikwa, kwani limemsumbua sana Lowasa
 
It's sad ...lakini kwa chadema hii tunafanyaje? ..
Huwa nikiwaza wapigania chama kama kina Aweda walivyojiweka pembeni sababu ya hawa mamluki naishiwa nguvu kabisa.

Tuhuma zinazotolewa na Benson Mramba kwa uongozi ni nzito sana. Ilipaswa ziangaliwe kama zina ukweli wowote ndani yake, lakini kwa kuwa zinamgusa mfalme hakuna anayeweza kuhoji. Si lisu wala kifaranga yeyote mwingine. Wanachoweza kuhoji ni udikteta wa magufuli.
 
Wadau, amani iwe kwenu,

Ni dhahiri kwamba Lowassa na Sumaye hawana amani ndani ya CHADEMA. Hawana dira wala mwelekeo. Kila wanalopanga halipangiki na CHADEMA hakionekani kuwa chama chenye mwelekeo wa kushika dola.

Kamera ya Lizaboni imenasa kikao cha mkakati wa Lowassa kutaka kujiengua na CHADEMA na kurejea CCM. Kwa sasa anaendelea na mazungumzo makali na baadhi ya wafuasi wake waliobaki CCM ambao wamemgomea kwenda upinzani. Kilichomshtua zaidi Lowassa ni hili wimbi la sasa lililoshika kasi la viongozi na wafuasi wa chama ambao aliona kuwa ni kimbilio lake wakimkimbia na kujiunga na CCM.

Je, viongozi wangu watampokea Lowassa? Mimi nasema wasiwe wepesi kukubali ujio wa Lowassa. Ni vema tukafunga gate valve ili asiruhusiwe kurejea tena chamani. Ameshaivuruga CHADEMA na sasa anataka kurejea tena CCM na kutuvuruga. Nasikia anataka kurejea kabla ya uchaguzi wa ndani wa CCM ngazi ya Taifa. Tusiruhusu jinamizi likatukumba tena ndani ya CCM.
LOWASA: Sina mpango wa kurudi CCM
 
Naomba kuuliza kipindi unaandika ulikua aujatumia kilevi chochote kiongozi?
Kama aujatumia nakushauri nenda kweny meli ya wachina haraka sana unamatatizo ya dish kucheza
Wakat anahamia upinzani ni huyu huyu aliwapa intro na mkam beza pia na maneno na maneno ya shombo pia mlimpa,Lèo anawapa za jikoni hamtaki, andaeni maneno mapya zee la monduli linatimka
 
Tutaendelea kuwashauri kila siku. You are fighting a wrong enemy. Adui wenu mkubwa si Chadema, CUF, Mbowe, Seif, Lowassa wala Sumaye. Wote hao wanaweza kuhamia kwenye chama chenu tena leo; but that won't solve any of your serious problems. Adui yenu mkubwa ni nyie wenyewe na Chama chenu. Hata akina Mugabe na chama chao walifikiria hivyo hivyo, kwamba adui yao walikuwa akina Chvangrai n.k, they were all wrong!. If you don't deliver what you promise, and you continue doing that year by year, people ultimately gets tired. You will continue getting less votes in the upcoming elections until you are completely wiped off. It is coming. If you are really serious and want to turn things around, then do an overhaul to yourself. Sounds a little bit harsh, but that is how it is.
 
Kuna jamaa mpaka leo huwa ananiambia kuwa yeye anaamini Lowassa alipelekwa CHADEMA kama mamluki kusaidia kukiua kwa ndani... Kama ni kweli kwani hiyo kazi ishatimia mpk arudi?
 
Back
Top Bottom