Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ungehamishia jukwaa la Utani ingependeza
Bakini naye, kwani si ni asset?, au liability?Ramli chonganishi
Kwahiyo Masha sio Kapi?Manyumbu kazi yao ni kufuata mkumbo. Sijui Lowasa akirejea CCM na wao watarejea? Japo sioni dalili za viongozi wangu kuruhusu makapi
Msando na wenzake nao sio makapi.......... ni newborn babies.Kwahiyo Masha sio Kapi?
Pole, ukitaka kuijua siasa tazama Zimbabwe.Wadau, amani iwe kwenu,
Ni dhahiri kwamba Lowassa na Sumaye hawana amani ndani ya CHADEMA. Hawana dira wala mwelekeo. Kila wanalopanga halipangiki na CHADEMA hakionekani kuwa chama chenye mwelekeo wa kushika dola.
Kamera ya Lizaboni imenasa kikao cha mkakati wa Lowassa kutaka kujiengua na CHADEMA na kurejea CCM. Kwa sasa anaendelea na mazungumzo makali na baadhi ya wafuasi wake waliobaki CCM ambao wamemgomea kwenda upinzani. Kilichomshtua zaidi Lowassa ni hili wimbi la sasa lililoshika kasi la viongozi na wafuasi wa chama ambao aliona kuwa ni kimbilio lake wakimkimbia na kujiunga na CCM.
Je, viongozi wangu watampokea Lowassa? Mimi nasema wasiwe wepesi kukubali ujio wa Lowassa. Ni vema tukafunga gate valve ili asiruhusiwe kurejea tena chamani. Ameshaivuruga CHADEMA na sasa anataka kurejea tena CCM na kutuvuruga. Nasikia anataka kurejea kabla ya uchaguzi wa ndani wa CCM ngazi ya Taifa. Tusiruhusu jinamizi likatukumba tena ndani ya CCM.