Mastamind
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,304
- 830
Afu kumbe Lizaboni ni ME?[emoji51]Hakuna utani kamanda. Nina uhakika na nilichoandika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu kumbe Lizaboni ni ME?[emoji51]Hakuna utani kamanda. Nina uhakika na nilichoandika
Uliaminishwa na CHADEMA kwamba Lowassa ni fisadi, ukaamini? Lakini huamini kama Magufuli, Mkapa, Kikwete, Chenge, Ngeleja, Muhongo na Tibaijuka ni mafisadi! Lowassa na hilo kundi la pili wote wametajwa na CHADEMA. Lakini zombie wewe umeamua kuamini Lowassa ni fisadi kwa kuwa hayupo tena CCM, huku hauamini hilo kundi la pili kuwa ni mafisadi kwa kuwa yapo CCM.Sisiemu ya JK sikuipenda sababu ya watu kama lowassa na niliaminishwa sana ma watu wa ndani na nje ya sisiemu kuwa ni fisadi, chadema ikiwa mstari wa mbele!
Kwa kweli kukinusuru chama, wasimpokee yeye wala sumaye.
Ramli chonganishi
Si kweli kuwa lowasa alitumwa chadema, alikwenda kwa uamuzi wake mwenyewe. Lakini marando aliwahi kusema kuwa jamaa wa tiss wanaweza kukutumia bila wewe kutambua kuwa unawatumikia.Kuna jamaa mpaka leo huwa ananiambia kuwa yeye anaamini Lowassa alipelekwa CHADEMA kama mamluki kusaidia kukiua kwa ndani... Kama ni kweli kwani hiyo kazi ishatimia mpk arudi?
yawezekana..Si kweli kuwa lowasa alitumwa chadema, alikwenda kwa uamuzi wake mwenyewe. Lakini marando aliwahi kusema kuwa jamaa wa tiss wanaweza kukutumia bila wewe kutambua kuwa unawatumikia.
CCM itakuwa haija shuka hadhi Chadema ndio itakuwa imeshuka kihadhi na kimapato sababu hao na rafiki zao ndio walikuwa wachangiaji wakubwa na ndio waliwezesha Chadema kupata madiwani wengi na Wabunge .Hao jamaa wakirudi tu CCM, kama watapokewa basi hata CCM itakuwa imezidi kujishusha hadhi, na pia Mbowe ndio atakua amefungashiwa virago rasmi chadema.
Hahahahaa!Wameshamaliza kazi waliyotumwa kuifanya. Itakuwa safi sana. Na akirudi CCM tu CHADEMA watamrudisha tena kwenye orodha ya mafisadi. Shauri yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siasa za Bongo yaani raha sana !!!
Hakuna kugombea mtu mwingine mpaka pesa zake zote ziishe.Sasa si alilipia kugombea urais mpaka 2020?
Licha ya kuaminishwa, kuna kitu unasahau, COMMON SENSE!Uliaminishwa na CHADEMA kwamba Lowassa ni fisadi, ukaamini? Lakini huamini kama Magufuli, Mkapa, Kikwete, Chenge, Ngeleja, Muhongo na Tibaijuka ni mafisadi! Lowassa na hilo kundi la pili wote wametajwa na CHADEMA. Lakini zombie wewe umeamua kuamini Lowassa ni fisadi kwa kuwa hayupo tena CCM, huku hauamini hilo kundi la pili kuwa ni mafisadi kwa kuwa yapo CCM.
Yo yo yo Chadema walikuwa na matumaini hewa kuwa mgombea uraisi wao hewa Lowasa atashinda na akishindwa atakataa matokeo na atakiinukisha na kuitumbukiza nchi kwenye vita.Wafadhili koko wa Ndani na nje waliamini hivyo kuwa Lowasa na seif Sharif Hamad wakishindwa lazima wakatae matokeo na kuitumbukiza nchi vitani ya wewnyewe kwa wenyewe.Lowasa na seif sharif Hamad wakapiga chenga ya mwili ukawa na wafadhili koko wao wa nje ya nchi hadi Leo hawaamini kilichotokea Tanzania bara na Zanzibar na hawana hamu na CCM wanajua chama CCM ni chama dume kisichosomeka.!!!!!! Lowasa na seif Sharif Hamad wakirudi CCM poa tu .Mission accomplishedKuna jamaa mpaka leo huwa ananiambia kuwa yeye anaamini Lowassa alipelekwa CHADEMA kama mamluki kusaidia kukiua kwa ndani... Kama ni kweli kwani hiyo kazi ishatimia mpk arudi?
Na bavicha watapiga vigeregere.Hahahahaa!
Watamrudisha tena kwenye orodha ya mafisafi,
Ni hakika watazunguka nchi nzima na kusema huyo ni fisadi papa.
..wengi walizani nati zimekaza,..Nipo masomoni Uingereza. Napambana na kitabu. Ndo maana sipo sana humu
Mpaka nimefurahi mkuuMm napenda aendelee kubaki huko chadema ili aendelee kuwachchafya zaidi hawa chadema waliomuita fisadi kwa muda wa miaka 8
Hongera mkuu kwa kuongea ukweli tupu.Lowasa, Sumaye, Kingunge n.k. wakirejea CCM kutokea CHADEMA sitashangaa kusikia kauli kutoka kwa Mwenyekiti wetu kwamba "acha waende kwakuwa hawakuwa na msaada wowote" na kwamba "sisi tulishasema siku nyingi kwamba ni mafisadi".
Siasa za Tanzania ni sawa na biashara nyingine inayoingiza kipato (ruzuku) hasa pale inapoendeshwa na mfanyabiashara mzoefu dizaini ya Mbowe. Haitakiwi jazba kwenye eneo la biashara. Wanaopandwa jazba ni washabiki na waandamanaji wasioijua biashara yenyewe.