Nenda peke yako na fisadi lako.
Anafaa sana, kwani nyie mnaosema ni fisadi kama mnafahamu siasa ya nchi hii mleteni msafi hapa mnaodhani hana doa.
Nenda peke yako na fisadi lako.
Sasa mkuu huyu fisadi mtampeleka wapi labda akaongoze famila zenu ila siyo watanzania.safari yenye matumaini sima a uhesabiwe,!nakuunga mkono
Mkuu nakubaliana na wewe magufuli yuko vizuri kwa kila kitu Lowasa kwa ufisadi wake ule hapana hatufai.Wakipitisha Lowassa basi huo utakuwa mwanzo wa mwisho wa CCM. Mtu pekee anayekubalika mijini na vijijini ni JP Magufuli. Vinginevyo CCM jiandaeni kumkabidhi Dr Silaa funguo za Magogoni
nasikia ukimsifia EL unatumia pm na kuombwa namba ya mpesa alafu unatumiwa mshiko