TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

Nashauri: jwenye msiba JK asipewe Mic kutoa za pole. Lazima ataharibu, huwa anajikoroga ssna kwenye misiba akisindikizwa na tabasamu la kufurahia aliekufa
"Mimi na mh Kikwete hatukukutana barabarani"'--- yalikuwa matamshi ya marehemu Ngoyayi.

Sisi wafuasi tuna vinyongo vingi lakini wenyewe wanajua vitu vilivyowaunganisha
 
Wote tu safari moja, maisha ya hapa duniani ni ya mpito, utu ni muhuimu zaidi kuliko vyeo na mali; wote tuliopo hapa jf kwa sasa, mwaka 2094 hatutakuwepo.

Pole kwa familia, ndugu pamoja na jamaa.​
 
Back
Top Bottom