TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

RIP Ngoyayi Lowasa.

NB: Katika watu ambao kwa msiba huu atafuatilia sana udaku, video na maneno mitandaoni kuhusu msiba huu kabla ya kuamua namna ya ushiriki wake, basi namba moja ni Mkwere wa pande za Msoga!!!@#$^^*&%%$#=995&^$×@#£^.
 
Hizi ni fiksi.
 
CHADEMA ilikuwa kazi maalumu kama ilivyokuwa kwa Slaa. Zingatia sana hili. Nchi haichukuliwi kwa vikaratasi ila ili kuwaridhisha mabwana zetu mabeberu basi koti la demokrasia lazima livaliwe, ndicho alichofanya mamvi kwa Taifa lake baada ya kuombwa.
 
Mwamba Apumzike Kwa Amani na Mwanga wa Milele Mwenyezi Mungu Amuangazie.
.
Huyu ni miongoni mwa WANASIASA, WAFUGAJI, WAKULIMA NA WAFANYABIASHARA wachache wa nchi hii niliyokuwa NAWAPENDA SANA.

PUMZIKA MWENDO UMEUMALIZA.
 
Ina maana kwa wale wagombea wa urais wa 2015 wenye ushawishi kwa namna yeyote tungefiwa na rais madarakani.
Nacheki kwenye orodha hapa;
1. Magufuli John
2. Membe Benard
3. Sitta Samwel
4. Mahiga Augustino
5. Ramadhani Augustino
6. Lowasa Edward

Watanzania Ilikuwa haiepukiki kupitia impossible moment ya kufiwa na rais madarakani ingawa wao kwa wao walikuwa wanatabiriana mabaya.
Pascal Mayalla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…