TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

Ina maana kwa wale wagombea wa urais wa 2015 wenye ushawishi kwa namna yeyote tungefiwa na rais madarakani.
Nacheki kwenye orodha hapa;
1. Magufuli John
2. Membe Benard
3. Sitta Samwel
4. Mahiga Augustino
5. Ramadhani Augustino
6. Lowasa Edward
Umeona mbali.

Tulikuwa na wagombea marehemu to be soon wakutosha!

Haya tumuachie Mola.
 
Tangulia mwamba
 
7. Dr Mwele Ntuli Malecela
 
Hivi Augistino Lyatonga Mrema hivi naye aligombea 2015? Inaonekana kugombea urais kunakupa stress kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…