TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

Rest in peace Lowassa 😢
IMG-20240211-WA0008.jpg
 
Ni mtu wa watu, anaye pendwa na kila rika.

Ni miongoni mwa Mawaziri wakuu wafuatiliaji wa mambo kwa ukaribu ukimwacha Moringe. alikuwa ni mtu Mwenye akili kubwa ya kutafakari na kubuni mambo kwa masilahi ya wananchi.

Alikuwa hachelewi kuchukua hatua mara moja, asiye kuwa na nidhamu ya uoga bali heshima ya ukweli.

Pumzika kwa amani EL.
Daima tutakuombea.
 
 
 
Hayo yoote hayatamsaidia chochote, waongeze siku za maombolezo, bendera nusu mlingoti ila haitamfaa kwa chochote marehemu, ila matendo yake ndio yatakayomfaa huko mbele, akiwa katika 👉Uislamu,,,,,,,na sio katika UPAGANI kwa maana ukristo n.k.
 
Rwanda inaomboleza kifo cha Lowassa,bendera zinarushwa nusu mlingoti( ndivyo alivyosema mleta habari). Bendera zinapepea nusu mlingoti mara baada ya habari kuwafikia.
Sababu ya Rwanda kuomboleza kifo cha Lowassa,yaelekea ni kwa sababu Mchungaji Christopher Mtikila alikuwa mara katika Kampeni ya Uchaguzi alikuwa anasikika akisema,"Msimchague Lowassa. Lowassa ndiye kinara wa kutaka kuleta Tutsi Empire hapa Africa Mashariki. Lowassa ndiye Chairman wa Tutsi Empire hapa Africa Mashariki"
Mtikila alikuwa anaongea sana haya mambo Star tv.
Habari ndio hio. Nimeianfika verbatim kama nilivyoipata.
 
Back
Top Bottom