Rwanda inaomboleza kifo cha Lowassa,bendera zinarushwa nusu mlingoti( ndivyo alivyosema mleta habari). Bendera zinapepea nusu mlingoti mara baada ya habari kuwafikia.
Sababu ya Rwanda kuomboleza kifo cha Lowassa,yaelekea ni kwa sababu Mchungaji Christopher Mtikila alikuwa mara katika Kampeni ya Uchaguzi alikuwa anasikika akisema,"Msimchague Lowassa. Lowassa ndiye kinara wa kutaka kuleta Tutsi Empire hapa Africa Mashariki. Lowassa ndiye Chairman wa Tutsi Empire hapa Africa Mashariki"
Mtikila alikuwa anaongea sana haya mambo Star tv.
Habari ndio hio. Nimeianfika verbatim kama nilivyoipata.