TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

Tuache upotoshaji. Lowassa na ututsi wapi na wapi? Halafu Kwa Sasa Rwanda hakuna ututsi na uhutu. Kila mmoja anajitambulisha Kama mnyarwaanda. Wewe Baki na mitafuruku yako.
Wewe nyumbu utakuwa mtusi kila ikiguswa rwanda upo kuitetea wakati jini linyonya damu za watu ni hatari kuliko hata hao ccm unaokesha kuwapinga
 
Mhhhh!!!Mbona haiingia akilini?!.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Kama Mzee Lowassa kura zingetosha ile 2015 basi leo Babu Duni angekuwa anapokea kijiti kwa kuapishwa rasmi

Nawatakia Jumatatu Njema!
 
Imeshakuwa vinginevyo ndio maana kizimkazi wanapeperusha bendera. Na bado!!!
 
Wagombea Urais wote wawili Mwenyezi Mungu aliwakataa kwa sababu moja ama nyingine. Jiwe alikataliwa kwa mambo yake ya hovyo, utekaji, watu kuokotwa baharini, ukatili, kwa hiyo akaambiwa "wewe jiwe pita huku...."

Copyright...DullaMakabila
 
Marehemu hasemwi vibaya ila wanaomfahamu tangu enzi zile kwake monduli kuna fensi ya michongoma wanayajua majibu yake huyu mwamba alikua anaweza kukupa jibu moja usimsahau maisha yako yote , wafanyakazi wake wamekula sana wali mboga kabeji , utakula kabeji hadi ukome nyama haivuki mlango wa nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…