Ni Wengi Sana Iliwatokea HivyoHuyu mzee nilimkubali bila hata ya sababu
🤡Sad day today
Wapo wangapi?My feeling ni kwamba aliondoka siku nyingi Sana SEMA Protokali za kikubwa ndio.zilichekewesha kumtangaza!!
Nafsi yangu inaniambia yupo mwingine hatangazwi Hadi Hawa kwanza watangazwe ndio huyo atafuata coz yeye ni mkubwa zaidi kuliko Hawa wanaotangulia Sasa hivi!!
Ngoja tuone!!
Waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai Lowassa amefariki dunia nchini Afrika Kusini alipokuwa akipatiwa matibabu.
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametangaza hii leo.
View: https://www.instagram.com/p/C3KqQ7Bv6c0/?igsh=cWk1dGllOGN3eHMy
😀😁Upotoshaji hatari ndiyo huu.
Ujumbe uwafikie majahili wote....kwa Mungu hakuna rushwa wala connection
Hapo sawa. Sasa ngoja ni edit bandiko.Umewekewa Breaking News...
Sijui alituroga na uchawi gani watz mpaka wakamwaminiNi Wengi Sana Iliwatokea Hivyo
Amenyimwa haki gani mkuu na hao uliowalaani?Walaniwe waloshiriki kukutesa na kukunyima haki yako 2014/2015
Uchawi huo..My feeling ni kwamba aliondoka siku nyingi Sana SEMA Protokali za kikubwa ndio.zilichekewesha kumtangaza!!
Nafsi yangu inaniambia yupo mwingine hatangazwi Hadi Hawa kwanza watangazwe ndio huyo atafuata coz yeye ni mkubwa zaidi kuliko Hawa wanaotangulia Sasa hivi!!
Ngoja tuone!!