TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

Acha urongo. Tatizo la maji Chalinze lilimalizwa na Tabasamu Kwa kushirikiana na Wachina. Maana walijua jamaa anaenda kuukwaa ukuu wakajiongeza wakafanya jambo
 
Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Edward Lowassa (70) amefariki dunia leo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete, Dar es Salaam.

Taarifa ya kifo chake imetangazwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango.

Source :swahilitimesView attachment 2899756
Kumbe kuna wakati pesa hazina msaada wowote kwa Mwanadamu......

Hivi kweli Lowassa ni wa kufia Muhimbili????

Nakumbuka aliwahi kusema "sitakufa kabla sijawa Rais wa Tanzania" mwisho wa kunukuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…