Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Samwel Sitta
Edward Lowasa
Bernard Membe
Edward Lowasa
Bernard Membe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha urongo. Tatizo la maji Chalinze lilimalizwa na Tabasamu Kwa kushirikiana na Wachina. Maana walijua jamaa anaenda kuukwaa ukuu wakajiongeza wakafanya jamboAlimaliza kero ya maji kwenye mji wa Kahama na mji wa Chalinze.
Chalinze ingawa imezungukwa na maji ya mto Ruvu, mto Ngerengere na mto Wami lakini miaka na miaka ulikuwa mji mkavu kabisa.
Edward Lowassa akishirikiana na mbunge wa wakati huo mh Kikwete waliibadirisha kabisa Chalinze.
Apumzike kwa amani
Atasoma mamakoEeh sana sijui salam za chadema msibani nani atasoma.
Uzuri ni kwamba unafiki wao hutauona as utakuwa ndani ya casket.R.i.P Classmate....😪
Hapa ndipo tutauona unafiq grade one wa wanasisasa kwenye msiba wako..😥
Apepe.Jakaya
[emoji120]Safi kabisa.
Punguza makasiriko weweAtasoma mamako
👀 you!HOW NEXT ?
R.I.PTaifa litakukumbuka katika utumishi wako ulio tukuka na heshima kubwa.
Pole kwa familia, ndugu,marafiki na jamaa
Bwana ametoa bwana ametwaa.............
[emoji24]
View attachment 2899791
Who is NextSamwel Sitta
Edward Lowasa
Bernard Membe
Sawa dada mkubwaPunguza makasiriko wewe
Waziri wa Maji alikuwa nani vile.Acha urongo. Tatizo la maji Chalinze lilimalizwa na JK Kwa kushirikiana na Wachina. Maana walikua jamaa anaenda kuukwaa ukuu wakafanya jambo
Kumbe kuna wakati pesa hazina msaada wowote kwa Mwanadamu......Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Edward Lowassa (70) amefariki dunia leo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete, Dar es Salaam.
Taarifa ya kifo chake imetangazwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango.
Source :swahilitimesView attachment 2899756