TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

Kiongozi mwetevu tulowahi kujaaliwa LAKINI waovu wakamchafua...
Alale palipo pema Mzee Edward...
 
Kwa maneno ya watu kama kina Kasheku Msukuma, Livingstone Lusinde a.k. a Kibajaji na wana CCM wengine wajinga na wapumbavu wasio na akili ambao walimtukana na kumdhalilisha kwa kiwango cha aibu sana huyu mzee katika kampeni za uchaguzi za mwaka 2015, walifikiri kuwa angeweza kufa muda wote ktk kipindi hicho cha kampeni.

Lakini huyu mzee pamoja na kutukanwa na kudhalilishwa sana na vijana hawa wa CCM wakiwa na baraka zote toka ktk chama chao, hakuwahi kunyanyua mdomo wake kujibizana na.

Haikuchukua muda, wale waliokuwa wanajiona ni wazima na wataishi hadi kufikia umri wa miaka 80 au 100, mmoja moja alianza kupukutika (kufa) wakimwacha mzee Edward Ngoyai Lowassa akidunda.

Wa mwisho kabisa kufa ni kambale mkuu wa CCM kwa wakati huo yaani John P. Magufuli.
Screenshot_20240210-165053.png

Huyu naye hakuwa nyuma kumdhihaki mzee Edward Lowassa kwa kupiga push up katikati ya jukwaa la kampeni mwaka 2015 kuonesha kuwa yeye ni mzima zaidi na mwenye afya. Lakini akatangulia kufa na kumwacha mzee huyu akidunda tu.

Pamoja na dhihaka hizi, mzee Edward Ngoyai Lowassa alikuwa na bonus ya miaka 9 ya kuishi hadi kufariki kwake leo tarehe 10/02/2024.

Tuna mengi ya kujifunza kwa mzee huyu hasa uvumilivu na uthubutu wa kimaamuzi na kutenda na kikubwa zaidi namna ya kutumia ndimi zetu!

Mungu na amweke mahali panapomstahili mzee wetu Edward Ngoyai Lowassa..
 
Rais Samia Suluhu ametangaza siku tano za maombolezo kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa.

Aidha, bendera zitapepea nusu mlingoti kuanzia leo Februari 10, 2024.
 
Moja ya viongozi Bora tulojaaliwa kama nchi tatizo majambawazi yalimchafua na kumnukisha lkn wenye akili tunajua alikuwa kiongozi Bora saana...
 
Rais Samia Suluhu ametangaza siku tano za maombolezo kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa.

Aidha, bendera zitapepea nusu mlingoti kuanzia leo Februari 10, 2024 kwa siku tano mfululizo.

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa (70) amefariki dunia leo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete, (JKCI) Jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.

________
Hizi ni salamu za pole kutoka kwa Rais Samia kwa Watanzania na familia ya Lowassa,

View attachment 2899810

VIDEO: MAKAMU WA RAIS AKITANGAZA TAARIFA YA KIFO CHA WAZIRI MKUU MSTAAFU, EDWARD LOWASSA
View attachment 2899814

Written by Mjanja M1 [emoji3578]
RIP Edward Lowassa.
 
Kwa maneno ya watu kama kina Kasheku Msukuma, Livingstone Lusinde a.k. a Kibajaji na wana CCM wengine wajinga na wapumbavu wasio na akili ambao walimtukana na kumdhalilisha kwa kiwango cha aibu sana huyu mzee katika kampeni za uchaguzi za mwaka 2015, walifikiri kuwa angeweza kufa muda wote ktk kipindi hicho cha kampeni.

Lakini huyu mzee pamoja na kutukanwa na kudhalilishwa sana na vijana hawa wa CCM wakiwa na baraka zote toka ktk chama chao, hakuwahi kunyanyua mdomo wake kujibizana na.

Haikuchukua muda, wale waliokuwa wanajiona ni wazima na wataishi hadi kufikia umri wa miaka 80 au 100, mmoja moja alianza kupukutika (kufa) wakimwacha mzee Edward Ngoyai Lowassa akidunda.

Wa mwisho kabisa kufa ni kambale mkuu wa CCM kwa wakati huo yaani John P. Magufuli.
View attachment 2899817

Huyu naye hakuwa nyuma kumdhihaki mzee Edward Lowassa kwa kupiga push up katikati ya jukwaa la kampeni mwaka 2015 kuonesha kuwa yeye ni mzima zaidi na mwenye afya. Lakini akatangulia kufa na kumwacha mzee huyu akidunda tu.

Pamoja na dhihaka hizi, mzee Edward Ngoyai Lowassa alikuwa na bonus ya miaka 9 ya kuishi hadi kufariki kwake leo tarehe 10/02/2024.

Tuna mengi ya kujifunza kwa mzee huyu hasa uvumilivu na uthubutu wa kimaamuzi na kutenda na kikubwa zaidi namna ya kutumia ndimi zetu!

Mungu na amweke mahali panapomstahili mzee wetu Edward Ngoyai Lowassa..
Pumba tupu hapa
 
Mh. Lowassa, Atakumbukwa kwa mradi wa kupeleka maji ya Ziwa Victoria sehemu mbalimbali za Tanzania. Nakumbuka kabla ya kupeleka huo mradi, baadhi ya sehemu hapa nchini, ndoo ya maji ya lita 20, ilikuwa inauzwa 500/=. Lakini baada ya mradi, ndoo ya maji ikashuka hadi 20/=!
Huo ndo unafuu wa maisha tunaoutaka.

Lakini mapuuzi mengine, yenyewe yapo yapo tu, kazi kuongeza ugumu wa maisha kwa wananchi hasa wa hali ya chini kwa kuongeza kodi za ajabu ajabu zisizo na tija.
pia ishu ya anoutoglo kuuzwa Lowasa aliamuru ukuta uvunjwe na wananchi fasta waliuvuja.
lowasa pumzika kwa amani baba
Najua alokusababishia gonjwa hili alokuwa rafiki yako mpenzi BOYZ 2 MEN aka JK ataleta unafiki mkubwa kwenye mazishi yako.
Ndo watanzania mjue Wakwere na wazaramo wana unafiki mkubwa sana.
wanakuua huku wakikuchekea
 
Back
Top Bottom