Edward Snowden: Jasusi wa Kimarekani alivyopania kumdhalilisha Obama

Sio kweli.

Osama alikufa Na Osama hana impact yoyote Ata akiwa hai ktk maswala ya kiusalama ya taifa LA USA.

Anachofanya Snowden ni kutoa siri za USA kuhusu udukuzi Wa taifa LA USA kwa mataifa mengine kitu ambacho ktk mfumo Wa usalama kila taifa hufanya hivyo kuyafatilia mataifa mengine.

Osama atabaki kua ni muslam Mwenye itikadi Kali aliekua akipinga udhalimu Na Sera kandamizi za USA Na washirika wake. Lkn ktk swala LA ulinzi hana lolote.
 

hakuna uislam wa msimamo mkali, msimamo wa kati wala msimamo baridi. uislamu ni mmoja tu:

hao wanaofanya uharibifu kwa kutumia mgongo wa uislam ni magaidi kama magaidi wengine.
 
Tambua kuwa watu wanatumia akili nyingi kuliko ww ufikiriavyo
Ili kuutawala dunia kwa hyo kwan yawezekana kabisa mafunzo ya kigaidi ni garama kubwa
kwa hyo kutengenza watu kama akina osama si kazi lahisi
kwa hiyo marekan wanafanya mchezo ili kuwaaminisha watu kuwa kuna makundi fulani
ya kigaidi na wanatuma watu wakajenge hvyo vikundi na kuviuzia silaha sasa ukiuwa wanaowatumia kesho nan? Atakubali aende mahali alafu aje afe

Na ndio maana leo marekan wameamua kuzalisha watu wasiokuwa na ndg
 
Mambo ya Alqaida au IS au Daeshi ni vitu tofauti kabisa. USA hajawahi kumuuzia silaha au kuwauzia silaha makundi ya kigaidi. Km anataka kusitisha mikataba ya kuiuzia silaha Serikali ya Saudia kwa oparesheni zake huko Yemen kua zinauwa watu hovyo sembuse vikundi tu vya kigaidi? Mume mnafikiria kabla ya Ku comment. Serikali ya iliyochagulia Na RAIA ya Muslim brotherhood ya Misri ilivyo shinda uchaguzi serikali ya USA ilikata mkataba wake Wa kijeshi Wa kuiuzia silaha Misri Na kuisadia kifedha kwasababu kubwa kwamba hizo silaha Na pesa zinaweza kuangukia mikononi mwa magaidi au watu wenye msimamo mkali then zikaanza kuwaumiza wao waamerca wenyewe. Sasa Leo hii USA iwauzie silaha magaidi, je hao magaidi wakiwageuka Na kuanza kuwashambulia?

Jamani hebu tuacheni kuchangia mada km tumo ndani ya box....
.
 
Kweli waafrika tutaendelea kutawaliwa kifikra mpaka mwisho
Acha kuchezewa akili na mmarekan yuko kama kinyonga tafakari
 
Pengine alikufa kidogo,who knows?
Ila hata mimi nliwah kusoma article flan inaelezea kuwa osama alikufa kwa ugonjwa wa figo mwaka 2001,tena akiwa chini usimamizi wa maafisa wa marekani kwenye kambi ya kijeshi ya marekani nchin saudia..
 
Uchambuzi wa kiwango cha dunia.. asante sana
 
Mkuu The boldVideo hii ambayo sina uhakika sana kama ni BBC lkn naweza kuona nembo ya BBC

Mkuu ONTARIO,

Wewe ni mtu makini sana kwahiyo naomba kabla hujaweka link au video hebu jiridhishe nayo kwanza.

Mfano hii video ambayo umeiweka hapo juu, ni clip ambayo mtu tu amejitengenezea nyumbani.. Amechukua picha ya snowden amebandika hapo alafu ameanza kusimulia mambo ambayo hata hatujui ameyatoa wapi..

Si ajabu naona haina hata watazaji huko youtube! Kwasababu haina mashiko.. Nilifungua kwa shauku nikidhani nitakutana na Snowden anaongea.. Kumbe naenda kusikiliza tena nadharia zinasimuliwa na mtu asiyejulikana na wala hatujui source yake ni wapi?? Hata mimi au wewe tunaweza kutengeneza hiyo clip..

Naomba ukiweka video tuwekee video ya snowden mwenyewe akisema hivyo vitu! Sio mtu anatusimulia "Snowden amesema"... Amesema wapi????

Pia naona umekimbia swali langu na changamoto niliyokupa!! Umesema kuwa Snowden alihojiwa na Russia Tribune.. Nimekuomba uweke link ya hayo mahojiano!! Russia Tribune wana tovuti kama hiki unachokisema ni kweli basi kitakuwepo kwenye tovuti yao.. Naomba link mkuu.. Usiseme kuwe ati ukiweka sitaamini?? c'mon man, mbona hizi nyingine unaweka bika kukuomba ila hiyo hutaki.??

Nasisitiza tena mkuu, tuwekee hiyo link tuone hayo mahojiano ya Snowden na Russian Tribune ambapo alitamka Osama yu hai na analipwa na Marekani.

(Narudia tena huwezi kuweka hiyo link kwasababu hicho kitu hakijawahi kutokea, Snowden hajawahi kuhojiwa na kusema Osama yu hai)


Kama hauna vielelezo vya kumuhusisha Snowden na theory hii.. Basi naomba tumuondoe kwenye equation tuingie kwenye hatua ya pili ya mjadala kuhusu kuwepo hai au kutokuwa hai kwa Osama pasipo kumuhusisha Snowden!! Tukimuhusisha tu snowden tunaharibu mjadala maana tunakuwa si wakweli..


Unasemaje mkuu??
 
Kweli waafrika tutaendelea kutawaliwa kifikra mpaka mwisho
Acha kuchezewa akili na mmarekan yuko kama kinyonga tafakari
Naifahamu america ktk huu ulimwengu Wa haya mambo vzr..... So unachotaka kulazimisha hapa hakipo kabisa. Osama Na Kundi lake hawajahi kuuziwa silaha na USA. Wakampige nani mpk wauziwe hizo silaha?
 
Hii shule nloipata hapa imeniridhisha sana. Mdurusu hongera sana kwa kutuletea Udurusu huu. Binafsi tangu siku ya kwanza kunatangazwa kuuwawa kwa Osama ilikuwa majira ya saa 8 au 9 usiku, jimbo alilotangazwa kuuwawa silo lililokuja kutangazwa kulipokucha. Walianza kusema kapigwa risasi alipokuwa nyumbani kwake ABIDABAD, baadae wakaja kusema hapo. Nikapatwa mashaka mno juu ya hili tukio.
 
Naifahamu america ktk huu ulimwengu Wa haya mambo vzr..... So unachotaka kulazimisha hapa hakipo kabisa. Osama Na Kundi lake hawajahi kuuziwa silaha na USA. Wakampige nani mpk wauziwe hizo silaha?
Kwa hyo ww uko ndan ya usalama wa amerika? Ukinihakikishia hilo nitaungana na ww
 
Kwa hyo ww uko ndan ya usalama wa amerika? Ukinihakikishia hilo nitaungana na ww
Kuwa ndani ya usalama Wa America ktk muktadha upi?

Swala ninalo simamia ni kwamba USA hajawahi kuwauzia silaha Alqaida Na Osama........ Wakampige nani mpk awauzie? Hebu acheni story za vijiweni kwenye kahawa.
 
Kuwa ndani ya usalama Wa America ktk muktadha upi?

Swala ninalo simamia ni kwamba USA hajawahi kuwauzia silaha Alqaida Na Osama........ Wakampige nani mpk awauzie? Hebu acheni story za vijiweni kwenye kahawa.
Hapa sio story za cijiweni kwa taarifa yako mm huwa sikai vijiwen ila ninatabia ya kutafakar jambo kwa mapana bila kuaminishwa na mwingine wamarekan hawajanyooka kama uwafikiriavyo ni watu hatar sana na ndio maana mrusi anajaribu kuwaboboa ingawa si rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…