Edward Snowden: Jasusi wa Kimarekani alivyopania kumdhalilisha Obama

Mkuu The Bold kuna sehemu unasema jeshi lilimkemea na hawezi pata nafasi tena ya kulitumikia...Swali je kwa muktadha huo huo kwanini tusiweze kuamini jeshi limemkemea mtu ambaye amepandikizwa na CIA ili kutuaminisha alikuwepo na alishiriki.
Mkuu ni jukumu la jeshi kumkemea na kumpiga marufuku ili lisijitokeze kwa wengine! Ni kinyume na maadili ya kijeshi kwa mtu kutaka utukufu binafsi..

Mkuu nafahamu vipo vitu vingi ambavyo Marekani wanadanganya dunia lakini kwa hili la Osama hapana.. Wadanganye ili wapate faida gani?? Why should they go to such length kutengeneza hoax ya kiwango hiki?? Ili waachive kitu gani??

Ati Osama ni operative wa Marekani??
Wamarekani wana mapandikizi ya kutosha huko mashariki ya kati lakini Osama not one of them..

Tukumbuke watu zaidi ya 3,000 walikufa pale NY siku 9/11.. Ni rahisi kwetu kuongelea kiwepesi wepesi kuwa wamarekani wamejilipua kwasababu hatujui uchungu ambao wamarekani walipitia kwenye tukio lile..

Ati walijilipua ili wakavamie middle east kuiba mafuta!! Really??
Hakuna kiwango cha mafuta kinachoweza kufikia thamani ya ya rasilimali na roho za watu zilizopotea siku ya 9/11.. Ni rahisi kwetu kujadili kirahisi rahisi kwa kuwa hatujui uchungu waliopitia wenzetu.

Kama zikiendelea stori tu pasipo concrete evidence!! Nitakuwa binadamu wa mwisho duniani kuamini Osama yuko hai, operative wa CIA, wamarekani walijilipua.
 


Mkuu The bold hii post umeitoa kwa bahati mbaya au umekusudia? Sidhani kama ni ya kiwango chako mkuu.

Kwamba unataka kuniaminisha kua kitendo cha Marekani kuudanganya ulimwengu wamemuuwa Osama hakina manufaa kwao? Tuseme hata kwa Obama hakukuwa na political advantage kuelekea uchaguzi wa 2012?

Kwamba marekani haiwezi kuuwa civilians wao, kweli kaka? Vipi mpango wa operation Northwoods? Unataka kuniambia hujawahi kusikia?

Mkuu the bold ni kweli una evidence japo robo tu, kuwa Osama aliuwawa? Si Panetta, Si John Brenan mkurugenzi wa CIA wala Obama anaweza akatoa proof yoyote ile kusubstantiate kifo cha Osama.
 

Mkuu, unauliza maswali ambayo nimeyajibu tena na tena na tena zaidi ya mara tatu kwenye uzi huu huu..

Anyways, naona tunazunguka mbuyu tu.. We are getting no where na huu mjadala.

Nahisi ni vigumu kwako kubadili msimamo wako uliojijengea dhidi ya Marekani na mimi ni mtu ambaye kamwe siamini stori stori bila evidence.

So its gud niwaache muendelee kujadili.!

All the best..



The Bold.
 

Daaaamn!Nilivyokuwa nimejiandaa kwa hii ligi ni Mungu tu anajua.
Hata hivyo naona hoja zinapishana,evidence hakuna basi vurugu tupu.

Anyways... As always,am proud of you bae [emoji8] [emoji8]
 
Daaaamn!Nilivyokuwa nimejiandaa kwa hii ligi ni Mungu tu anajua.
Hata hivyo naona hoja zinapishana,evidence hakuna basi vurugu tupu.

Anyways... As always,am proud of you bae [emoji8] [emoji8]
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] thank you hny!

Kumbe ulikuwa unafuatilia [emoji85] nilidhani umesahau.!!
 
mwanangu upo conscious...i salute you
babu we sio TISS?
 
samahanin wakuu kwa ku quote uzi huu ila jamaa kazungumza fact..mwanangu tupo pamoja tupia vitu..
 
Jamani tunaeleweshana tu wakuu...ndo wenzenu nasisi tunapata elimu hapa
 
Kama Osama anakula pesa nono kutoka CIA wakati CIA. ni ya marekani, na Rais aliyetangaza Kwamba Amemuua Osama kwa kutumia kikosi chake maalum katika mapambano ya moto;

Je, kuna uadui baina ya CIA na Rais wa Marekani Barack Obama?

sijaelewa hapo!

au Osama ni Kiini macho kama adui wa Marekani ili Marekani wafanye yao ktk Mataifa mengine?
 
Icheki documentary ya "The Citizen 4" ndo utang'amua kuwa bwana Snowden ni jamaa mmoja very intelligent and brave. I can call him a martyr on communication privacy and enlightenment of the society towards the evils of the US's secret intelligence societies.
 
Snowden anamkosesha sana Obama usingizi. USIMWACHE BRO WE ENDELEA TU KURUKA NAE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…