BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Dah mshahara wa milion 420 kwa mwezi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ni jukumu la jeshi kumkemea na kumpiga marufuku ili lisijitokeze kwa wengine! Ni kinyume na maadili ya kijeshi kwa mtu kutaka utukufu binafsi..Mkuu The Bold kuna sehemu unasema jeshi lilimkemea na hawezi pata nafasi tena ya kulitumikia...Swali je kwa muktadha huo huo kwanini tusiweze kuamini jeshi limemkemea mtu ambaye amepandikizwa na CIA ili kutuaminisha alikuwepo na alishiriki.
Mkuu ni jukumu la jeshi kumkemea na kumpiga marufuku ili lisijitokeze kwa wengine! Ni kinyume na maadili ya kijeshi kwa mtu kutaka utukufu binafsi..
Mkuu nafahamu vipo vitu vingi ambavyo Marekani wanadanganya dunia lakini kwa hili la Osama hapana.. Wadanganye ili wapate faida gani?? Why should they go to such length kutengeneza hoax ya kiwango hiki?? Ili waachive kitu gani??
Ati Osama ni operative wa Marekani??
Wamarekani wana mapandikizi ya kutosha huko mashariki ya kati lakini Osama not one of them..
Tukumbuke watu zaidi ya 3,000 walikufa pale NY siku 9/11.. Ni rahisi kwetu kuongelea kiwepesi wepesi kuwa wamarekani wamejilipua kwasababu hatujui uchungu ambao wamarekani walipitia kwenye tukio lile..
Ati walijilipua ili wakavamie middle east kuiba mafuta!! Really??
Hakuna kiwango cha mafuta kinachoweza kufikia thamani ya ya rasilimali na roho za watu zilizopotea siku ya 9/11.. Ni rahisi kwetu kujadili kirahisi rahisi kwa kuwa hatujui uchungu waliopitia wenzetu.
Kama zikiendelea stori tu pasipo concrete evidence!! Nitakuwa binadamu wa mwisho duniani kuamini Osama yuko hai, operative wa CIA, wamarekani walijilipua.
Mimi watu wanao quote Uzi mrefu wananiboa nikiona tu ivyo nafunga uziMkuu uzi mrefu kama huu ukiuQuote unatutesa tunaotumia simu. Ni kero sana ndugu.
Mkuu The bold hii post umeitoa kwa bahati mbaya au umekusudia? Sidhani kama ni ya kiwango chako mkuu.
Kwamba unataka kuniaminisha kua kitendo cha Marekani kuudanganya ulimwengu wamemuuwa Osama hakina manufaa kwao? Tuseme hata kwa Obama hakukuwa na political advantage kuelekea uchaguzi wa 2012?
Kwamba marekani haiwezi kuuwa civilians wao, kweli kaka? Vipi mpango wa operation Northwoods? Unataka kuniambia hujawahi kusikia?
Mkuu the bold ni kweli una evidence japo robo tu, kuwa Osama aliuwawa? Si Panetta, Si John Brenan mkurugenzi wa CIA wala Obama anaweza akatoa proof yoyote ile kusubstantiate kifo cha Osama.
Mkuu, unauliza maswali ambayo nimeyajibu tena na tena na tena zaidi ya mara tatu kwenye uzi huu huu..
Anyways, naona tunazunguka mbuyu tu.. We are getting no where na huu mjadala.
Nahisi ni vigumu kwako kubadili msimamo wako uliojijengea dhidi ya Marekani na mimi ni mtu ambaye kamwe siamini stori stori bila evidence.
So its gud niwaache muendelee kujadili.!
All the best..
The Bold.
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] thank you hny!Daaaamn!Nilivyokuwa nimejiandaa kwa hii ligi ni Mungu tu anajua.
Hata hivyo naona hoja zinapishana,evidence hakuna basi vurugu tupu.
Anyways... As always,am proud of you bae [emoji8] [emoji8]
Whaaaaat? Nisahau [emoji15] [emoji87].[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] thank you hny!
Kumbe ulikuwa unafuatilia [emoji85] nilidhani umesahau.!!
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Whaaaaat? Nisahau [emoji15] [emoji87].
Hakuna thread niliyoifuatilia kama hii tokea jana.
Ulipo nipo my love [emoji7]
Anytime... You are welcome my sweet darling [emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Thank you love!
Macho kodoAnytime... You are welcome my sweet darling [emoji8] [emoji8] [emoji8]
mwanangu upo conscious...i salute youMkuu The bold
Nashukuru sana kwa majibu yako murua kabisa, kiukweli nilitegemea kabisa kupata response ya namna hiyo kutoka kwako 🙂
Naomba twende polepole mkuu,
Nakubaliana na maelezo yote uliyotoa hapo juu (kuna elimu umeniongezea na pia kunipa homework ya kusoma nini katiba ya marekani inazungumza kuhusu masuala ya ulinzi). Nami naamini utakubaliana nami kuwa SEAL team 6 is the most secretive military unit katika historia ya Marekani. Tangu mwaka 1981 wamefanya operations nyingi za kibabe, lakini hakuna hata chembe robo ya siri iliyowahi kuvuja kutoka kwao.
Sasa tujiulize baada ya baadhi SEAL team 6 kuuwawa, ndipo wakaibuka watu 2 akiwemo huyo O'Neil wakavujisha siri za ndani za SEAL team 6 kuhusu oparetion Neptune, hadi kufika hatua ya kupublish kitabu na kutuaminisha kuwa yeye ndiye shooter aliyemuuwa Osama.
■Je kwanini O'Neil aliibuka baada ya mauaji ya members kadhaa wa SEAL team 6? Why not earlier before the massacre?
■Je kwanini SEAL team 6 hawakumchukulia sheria O'Neil kwa kosa la kuvujisha siri (uhaini)?
■Kwanini SEAL team 6 iliruhusu kitabu chake kiwe published na kisambazwe mitaani?
Binafsi naamini kina O'Neil ni watu tofauti kbs waliotumika kucover up saga nzima ya kuuwawa kwa team iliyohusika kumuuwa Osama (fake), walitumika mahususi kuiaminisha dunia kuwa kama shooter yupo hai basi members wengine wapo hai, na kwamba waluouwawa Afghanistan si timu iliyomuuwa Osama. (Nakataa kuwa O'Neil ni m1 ya walioshiriki ktk operation Neptune spear).
Pia nisikilize kwa umakini... kwa mara nyingine utakubaliana nami kua SEAL team 6 is the most secretive military unit in US, hivyo basi hakuna anayejua wale walioshiriki kwenye Osama raid ni kina nani, na pia hakuna anayejua wale waliouwawa kwenye ndege ya kivita ni kina nani. Lakini tukiangalia circumstantial evidence (ushahidi wa kimazingira) tunagundua kuwa waliouwawa ni team ya waliomuuwa Osama. Kivipi sasa?
■ Ni kwanini mission 1 tu iuwe wanajeshi wengi zaidi ya wanajeshi wote waliowahi kuuwawa kwenye historia ya SEAL team 6? (It must have been planned).
■ Kwanini interval ya muda kati wa wanajeshi waliouwawa Afghanistan na wale waliouwawa kwenye mafunzo ya parashuti ni mdogo sana? (It must have been planned).
■ Kama kweli SEAL team 6 walikuwa na oparesheni ya kivita Afghanistan, kwanini baada ya kulipuliwa ile ndege iliyouwa wanajeshi, hawakutuma ndege nyingine yenye wanajeshi wa SEAL team 6? Hapa naamini ile ilikua ni mission ya kuwauwa waliomuuwa Osama fake, la'sivyo basi wangetuma wanajeshi wengine wakamalizie mission waliyokusudia huko Afghanistan.
Tuendelee mkuu The bold
samahanin wakuu kwa ku quote uzi huu ila jamaa kazungumza fact..mwanangu tupo pamoja tupia vitu..Mkuu The bold

Jamani tunaeleweshana tu wakuu...ndo wenzenu nasisi tunapata elimu hapaMkuu, unauliza maswali ambayo nimeyajibu tena na tena na tena zaidi ya mara tatu kwenye uzi huu huu..