Edwin Mtei aliposikitishwa na Tundu Lissu kumtusi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere

Edwin Mtei aliposikitishwa na Tundu Lissu kumtusi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere

Ndivyo alivyowafundisha huyo babayo laanatullahi Nyerere ???

Kuna unajua yupo yupo wapi alifikiri hatokufa kama alivyowauwa wenzake , yeye na yule muuwaji Laanatullahi Jizi Mkapa.

Bado hili linalouwa sasa , ngoja vijana wamshughulikie siku zake zinahesabika
Kwa vile umemtusi Mwalimu, heri tukupe live sasa ili ujijue kule unakoangukia.

Mmejileta nyie kupitia kwa Seyyid Said, akifikiri mtalala huku afrika maisha raha mustarehe hata mkiwa marehemu.
Mmeikuta Tanganyika na tukawawowa.
Mtaendelea kuolewa huku Tanganyika ndo mujue hapa Zenj ni kwa Watanganyika na sio kwa waOman.
 
Si ndio tabia za babayo wa pii hizo kenge Laanatullahi Nyerere au vipi?
 
Mkuu inaonekana haujui Lissu aliongea maneno gani hadi Mzee Mtei kujitokeza hadharani na kukemea na kutoa angalizo au muon
Kama umemuelewa Mtei tatizo siyo kumkosoa Nyerere bali kumkashifu au kumtukana au kumdhalilisha au kumdhihaki.
Nyerere amekosolewa na wengi tu na bado atakosolewa, hiyo haijawahi kuwa dhambi au kosa. Tatizo unatumia lugha gani.

Kwenye kuchagua lugha ya kukosoa hapo Lissu amekosa karama hiyo, huwa anajisahau na kutumia lugha isiyo
Nyerere kafanya mazuri mengi, na ana makosa mengi tu.

Na alilalamika watu wanaangalia makosa yake, wanaacha kuangalia mazuri.

Hapo napingana naye, watu wanatakiwa waaangalie makosa ya viongozi. Bila kuangalia makosa ya viongozi hawawezi kuyarekebisha.

Mazuri hayahitaji kurekebishwa sana, hivyo hayatakiwi kupewa kipaumbele katika kuangaliwa.

Nyerere ninamuheshimu kwa mengi mazuri aliyofanya.

Lakini, nikisikia kuna mwanasiasa anamkosoa Nyerere, nashukuru kwamba kuna mtu ana uthubutu wa kumkosoa Nyerere.

Mtei hakueleza Tundu Lisssu alisema nini.

Sitaunga mkono kumtusi Nyerere. Nyerere alikuwa ni kati ya viongozi waliojiheshimu na kuheshimu watu sana, sana tu. Angeweza kuwa dikteta mkubwa lakini hakuamua kufanya hivyo.

Ukitaka kuelewa umuhimu wa Nyerere, na alivyojiheshimu, linganisha kauki za Nyerere na za Magufuli halafu uone tofauti. Kama rais Mwinyi alisema yeye ni kichuguu na Mwalimu Nyerere ni mlima Kilimanjaro, basi Magufuli ni punje moja ya mchanga!

Lakini, Nyerere katika siasa, alifanya makosa mengi tu. Hata yeye mwenyewe alikubali hilo.

Sasa kama Nyerere mwenyewe alikubali kwamba alifanya makosa (mfano alikubali utaifushaji wa mashamba makubwa ulikuwa na mapungufu makubwa, serikali iliyachukuwa bika ya kuwa na uwezo wa kuyaendesha).

Mtu kama huyo ambaye mwenyewe kakubali makosa, kwa nini wengine wasimseme makosa yake?
Umenena haswa mkuu.
Nyerere aliset standard ya uongozi ambayo bado haijafikiwa na waliofuata.
Lakini bado alikuwa na kasoro zake.

Tunalo mlaumu Lissu ni ule uthubutu wa kijinga wa kumtusi na kumdhrau Mwalimu.
Lisu ni kiongozi wa mihemuo na asiye na vision.
Ana elimu ndiyo lakini, he thinks after talking na si before talking.

Lissu alifikiri watu wamesahau matusi yake,.
Kiuhakika , anayopitia sasa ni a direct reflection ya the loose cannon he always carries in the form of a bad mouth.
 
Lakini mbona Lissu huyo huyo pia amempa heshima sana Nyerere kwa kumnukuu mara nyingi sana, hususan kwenye mjadala mzima wa "maendeleo ya watu badala ya vitu", akimsifia Nyerere kwa kuelewa hili na kumsema vibaya Magufuli kwa kutoelewa hili?

Maneno halisi ambayo Lissu alimsema vibaya Nyerere ni yapi?

Hata mimi namsema vibaya Nyerere. Kwa kudumaza upinzani alivyoupiga marufuku miaka ya sitini, kwa kutuparamisha Ujamaa ulioangusha uchumi. Kwa kuratibu na kubariki wizi wa kura Zanzibar. Kwa kuhamishq mji mkuu kutoka Dar mpaka Dodomq bila ya sababu ya msingi ya kiuchumi.

Lakini Nyerere huyo huyo namuheshimu sana, kwa usomi wake, kwa werevu wake, kwa kujenga umoja wa kitaifa, kwa kuiongoza dunia kupinga utawala dhalimu wa Afrika Kusini. Nyerere alikuwa kiongozi wa jwanza duniani kususia budhaa za Afrika Kusini ya kibaguzi, karibu dunia nzima ikamfuata.

Nyerere was a comolex man. Nina mengi sana ya kumsifia. Kuna standards za uongozi aliziweka mpaka leo waliomfuatia hawajazifikia. Alikuwa the so called "philosopher king", something rare. Lakini oia nina mengi ya kumsema vibaya.

Na ikiwa tu sijamtukana matusi ya nguoni, kitu ambacho si ustaarqbu kumtukana mtu yeyote, achilia mbali kiongozi wa nchi, na kama maneno yangu ni kweli, sioni ubaya wa kumsema vibaya Nyerere.

Tundu Lissu alitoa matusi ya nguoni kwa Nyerere?

Alitoa maneno gani?
 
Kwani mtu mwenye baba wawili huwa anaowa au kuolewa ?
Hayo ya jadi ya kwenu na mliyokuja nayo, mwulize Seyyid Said aliyewaleta.
Anajua zaidi.
Niulize chogo lenye akili nyingi nitakuambia.
 
Hayo ya jadi ya kwenu na mliyokuja nayo, mwulize Seyyid Said aliyewaleta.
Anajua zaidi.
Niulize chogo lenye akili nyingi nitakuambia.
Uzi wako unataka uongeze page lakini watu wameupuuza , bakia na mzimu wa baba yako wapili Laanatullahi kenge Nyerere,
 
Uzi wako unataka uongeze page lakini watu wameupuuza , bakia na mzimu wa baba yako wapili Laanatullahi kenge Nyerere,
Hayo ni mawazo yako ya kijinga weye laanatullahi Gavana,wa kuja.
Tutawashughulikia mpaka basi.

Kwa ujinga wako hujui uzi huu umeanza lini, mihemuko ndio inawaumiza kizazi chenu kilicholaaniwa.

Sasa basi, kila ya hoja ya kijinga utoayo itajibiwa kiufasaha, tukana upendavyo, maana ndivyo ulivyojaaliwa.

Wengine hawachangii huu upuzi wako maana wanaridhika jinsi ninavyokudhibiti barabara.
 
Jidu la majambazi, the man with two fathers 😛 😛 😛 😛 😛
 
Idd Amin alimwambia huyo baba yako wa pili kwa sauti yake nyororo angalimwoa ?
Kumbe kenge alikuwa ni punga
Una pepo la ushoga la mababu zako na lilirithishwa kwako na baba ysko.
Njoo kwa Mwamposa ukanyage mafuta.
Utapona tu.
 
Back
Top Bottom