Edwin Mtei aliposikitishwa na Tundu Lissu kumtusi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere

Edwin Mtei aliposikitishwa na Tundu Lissu kumtusi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere

nimeiedit comment yangu mkuu, paragraph ya kwanza na ya pili naeleza mambo aliyofanya Mwalimu kuonesha sisi sote ni wajinga mjanja ni yeye tu ( my contextual definition of intelligence) go back itafute ukaisome upya!
Hujaweza hata ku define intelligence ni nini, licha ya kushindwa kuonesha kwamba Nyerere is the most intelligent Tanzanian.
 
Hujaweza hata ku define intelligence ni nini, licha ya kushindwa kuonesha kwamba Nyerere is the most intelligent Tanzanian.

mkuu hujasoma what i have written! au labda umesoma hukuelewa na ukachukia! nimegundua wewe ni mtu mwenye dharau na kiburi na yawezekana umesoma bongo tu na umesoma sayansi sikwambii kwanini utaamka na wewe ni mtu mzee na ni mbishi wa kigoma ndugu yake na ZZK na una wivu kwa heshma anayopewa Mwalimu unatamani uwe wewe sababu unadhani wewe una akili nyingi zaidi na unapenda watu wote wawaze yale uwazayo wewe!
 
Wapi ume define intelligence?

Habari za kusoma Bongo tu maana yake nini?

Sisi kwetu wakati watu wanaona kusoma Chuo Kikuu nje ni kitu cha kusheherekea, Baba yangu alisomesha watoto wake shule za sekondari Ulaya.

Mimi sijaishi Bongo takriban miaka ishirini sasa.

Sasa wewe kama unaona kutosoma Bongo ni deal hujui unaweza kuwa hujasoma Bongo ukawa umesoma Nouakchott .

Unapajua Nouakchott wewe?

Nimekuuliza swali dogo.

Intelligence ni nini.

Mpaka sasa hujalijibu.

Na kama hujalijibu swali hili, kusema Nyerere is the most intelligence Tanzanian ni ujinga tu.

Kwa sababu umempa Nyerere ushindi katika kitu ambacho hata hujaweza kuki define ni nini.
 
intelligence hupimwa kwa mambo mengi, kufaulu mitihani, IQ test, uongozi bora, hekima na busara, uchambuzi wa mambo, kushawishi wengine, kubuni sera nk, zote sifa za Mwalimu zako ni zipi?
yule Mzee amekufa ila falsafa zake bado zinaishi!

nimejua umesoma bongo sababu bongo inatumia Rote Learning yaani kukariri na swali lina jibu moja tu la mwalimu ulaya swali moja moja majibu mia yote sahihi ukitetea majibu yako!! yaani wewe una majibu ya kila kitu na huwezi kupush out the boundaries of what you know ukaweza kuwaza outside the box ulichokariri ndo hicho hicho unataka wote tufuate mawazo yako!
Mwalimu kaandika vitabu kibao wewe ushaandika vingapi?

msikilize hapa chini Mwalimu akiongea utajua ametuzidi akili

Nakuuliza umbali ni nini?

Unanijibu umbali unapimwa kwa vipimo vingi, kilomita, mita, maili, futi.

Unaelewa kwamba hujajibu swali hapo?

Wewe uliyeshindwa ku define intelligence ndiye uliyetambuka kwenye rote learning?

Wewe uliyelazimisha Nyerrre kuwa the most intelligent Tanzanian bila hata ya kuweza ku define intelligence ni nini ndiye umetambuka rote learning?

Unaelewa kwamba ukiongelea IQ tests kati ya wasomi wa mambo ya cognitive sciences unachekwa siku hizi?

Umesoma IQ tests zikivyochambukiwa kwenye the Pulitzer Prize winning "Guns, Gems and Steel: The Fates of Human Societies" ?

Hata kama una base kwenye IQ tests, Nyerere ulimpima kwa IQ test? Watanzania wangapi unewapima kwa IQ test?

Intelligence ni nini?

Hujajibu swali.
 
intelligence
/ɪnˈtɛlɪdʒ(ə)ns/
Learn to pronounce

noun

  1. 1.
    the ability to acquire and apply knowledge and skills.
    "an eminent man of great intelligence"

    ok
 
intelligence
/ɪnˈtɛlɪdʒ(ə)ns/
Learn to pronounce

noun

  1. 1.
    the ability to acquire and apply knowledge and skills.
    "an eminent man of great intelligence"

    ok
Umepimaje kwamba Nyerere ndiye Mtanzania mwenye hiyo intelligence kuliko wote?

Kuna watu inawezekana wana hiyo unayoiita intelligence sana zaidi ya Nyerere lakini hawakutaka na hawataki public life.

Unajuaje Nyerere kawapita kwa intelligence Watanzania wote ambao hawakutaka public life na hawajulikani?

Nyerere, mtu aliyejinadi kwa uzalendo, angekuwa na akili sana hivyo unavyomsema, asingepata aibu ya kwenda kufia London kama hana nchi yake aliyoianzisha mwenyewe.

Kashindwa kuwa na hospitali Tanzania ya kumhudumia mwenyewe wakati anaumwa.

Miaka yote aliyokuwa rais na mwenyekiti wa CCM.

Mzalendo kaishia kufia hospitalini ughaibuni. Mbali na watu wake.

How intelligent is that?
 
Huwezi mfananisha lissu na dictator Nyerere au Mtei , lissu sio zero brain kama Mbowe na mtei na Nyerere.

Hii constitution ya 1977 ni wazi kuwa Nyerere alikuwa zero brain kama bashite na Mbowe.

Hakuna Uhuru aliopgania After second world war Tanganyika was under trusteeship of UNO.

UNO ndo wametupa Uhuru sio huyu muhuni wa ccm na Asp na Tanu.

Tundu Lissu 2020-2025 for president.
Hivi kwsnini mungu huwa anawaleta duniani watu wajinga kama wewe??
 
Tatizo kubwa katika Taifa la watu masikini si siasa , tatizo ni vitu kama umasikini, magonjwa na elimi.
Mwalimu aliyatatua haya kwa ufanisi mkubwa kulingana na mitaji aliyokuwa nayo.
Hata ukiwa rais wa nchi masikini, nawe ni masikini tu.
wewe wacha porojo Tanzania ni maskini? labda maskini wa akili dizaini kama zako na miji ccm
 
wewe wacha porojo Tanzania ni maskini? labda maskini wa akili dizaini kama zako na miji ccm
Tusi upendavyo lakini huna milioni mfukoni.
Na huna nyumba wala huwezi hata kula mlo mmoja pale Hyatt.
You are a poor man!
 
Tusiishi katika ukomo wa kifikira kuendana na historia ya nchi yetu. Ndiyo! Mwl. Nyerere ni Muasisi na Baba wa Taifa letu, na alikuwa kiongozi mashuhuri kwa wakati wake, ambaye alilitetea sana utu wa watu nchini, barani Afrika na ulimwenguni kwa ujumla.

Lakini hiyo siyo sababu ya kumfanya akose wakosoaji wa misimamo yake. Kama binadamu awaye yeyote yule, alikuwa na madhaifu yake. Na jambo hili linathibitika kupitia kauli yake mwenyewe kabla mauti hayamkuta. Alikuwa "remorseful" kwa baadhi ya maamuzi yake kama kiongozi, hasa kwa yale yaliyoleta matokeo hasi.

Kwa hiyo Tundu Lissu naye ni kiongozi mwenye sifa zake ktk taifa lake. Na pia mwenye maono yake ya kulipeleka taifa letu ktk "next frontier" kupitia mapungufu ya kihistoria ambayo anaamini kwa dhati yalitokana na Baba wa Taifa. Tuzipime "constructive criticisms" zake. Wala tusizibeze kwa kauli za jumla jumla tu.

Tuje na hoja mujarabu hapa jukwaani na kuainisha wapi amekosea. Sio hoja za juu za kutumiwa na mabeberu. Kama hizo "claims" ni za kweli, wakosoaji wa TL waainishe ni lini, wapi na kwa vipi anahusika.
Fuatilia kwa makini na uwe mwangalifu sana.
Unaweza niquote mahali popote kwenye mada hii niloandika kuwa ati anatumiwa na maberu.

Hao mabeberu kwa kuanzia walikuwa wanamheshimu sana Mwalimu hata kama hawakuku aliana naye.

Tatizo la Tundu Lissu SI UKOSOAJI ni UTUKANAJI.
There is a big difference between the two positions.
Hata leo napata taabu kufikiri alipata wapi guts za kumtusi Mwalimu.
 
Tundu Lissu na rekodi yake ya kisiasa, ati sasa naye anautaka Urais.
...............

APR
17

EDWIN MTEI ASIKITISHWA NA ALAANI KITENDO CHA TUNDU LISSU KUMTUKANA BABA WA TAIFA, MWL. NYERERE

Nilimsikiliza Mheshimiwa Tundu Lissu na nasikitika kwamba sikubaliani naye jinsi alivyoeleza shutma juu na dhidi ya Mwalimu Julius Nyerere, Baba na Muasisi wa Taifa letu.

Inajulikana na umma wa Watanzania, kwamba mimi binafsi, kama Waziri wa Fedha, nilitofautiana na Mwalimu, nikajiuzulu Uwaziri Decemba,1979, nikimwomba ateuwe Mtanzania mwingine atakayeshauri mambo ya Uchumi na Fedha. Lakini tuliendelea kuwasiliana kwa maelewano bila chuki, na hata aliniteuwa niwe Mwakilishi wa Tanzania na Afrika inayoongea Kiingereza katika IMF (Shirika la Fedha Duniani) chini ya miaka mitatu baadaye Novemba, 1972.

Nimekuwa na mawasiliano na maelewano mazuri sana na Mwalimu hata baada ya kuasisi CHADEMA, Julai 1992 na tulipokamilisha Katiba na Sera za Chadema, nilimtembelea Nyumbani kwake Butiama nikampa azisome ajionee jinsi tulivyonuia kuwahudumia Wananchi wetu. Hata siku moja siwezi kumtusi Muasisi wa Taifa letu. Iwe ni mwiko pia kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kumtusi Baba wa Taifa.

Ningewashauri uongozi wa Chadema na hasa Vijana wa M4C (Vuguvugu la Mabadiliko) tuendelee na uhamasishaji : kwa umakini, tukiwa na huruma kwa wanyonge maskini wa kutupwa, tukijiandaa kwa umakini na kiutaalamu Sera na Mikakati ya kuwakomboa toka katika umaskini wa kutupwa kwa kutumia nguvu ya umma (Peoples Power) tukitumia mikakati sahihi: kwani Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke:

Mikakati na Sera sahihi ikiwa ni kutumia misingi ya Uchumi na Miundombinu tulionayo licha ya uhalisia dhoofu tulioridhi; tukiwaenzi walioijenga na kuturidhisha kwa unyofu wao.

Roho ya Julius Nyerere ilale mahala pema Peponi. Amen!

With all due respect to Hon. Tindu Lissu, this smacks BAD TASTE.

Edwin Mtei,

Founder Chairman of CHADEMA.
Wanabodi, mimi nilidhani Lissu hatarejea
Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela!

Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali, "Kwa Mliomsikia Tundu Lissu Kwenye Hard Talk, Jee Unadhani Atarejea Nchini?. Mimi kwa upande wangu, I seriously doubt kama atarejea, na ikitokea kweli akarejea, then Tundu Lissu atakuwa ni shujaa mwenye uthubutu na ushujaa mkubwa kuliko hata ushujaa wa Nelson Mandela!.

Nimesema hivyo kwa sababu nimemsiliza kwa makini Tundu Lissu, him being a Lawyer, kwa yale aliyoyasema, kwa tuhuma alizoshusha bila ushahidi, I seriously doubt if Tundu Lissu will ever return home during this era, na ikitokea kweli akarejea, then Tundu Lissu atakuwa ni shujaa kuliko Nelson Mandela.
Hongera zake.

Paskali
Final Update
Tundu Lissu leo amerejea nyumbani Tanzania, hivyo naomba kuthibitisha humu kuwa Tundu Lissu ni Jasiri na Shujaa Kuliko Nelson Mandela.

Hivyo sasa, kufuatia kurejea huku, ule ushauri wangu nilioutoa kwake kabla hajashambuliwa, sasa utekelezwe.

Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!

Shujaa Kamanda Tundu Lissu, karibu nyumbani.
Mungu ni mwema amekutendea muujiza, hivyo endelea kutimiza ndoto yako, Mungu aliyekuponya ni Mungu mwenye uwezo, anaweza kabisa kulifanya "Jiwe Walilolikataa Waashi, Likafanywa Jiwe Kuu la Pembeni"

I wish him all the best.
Paskali
 
Wanabodi, mimi nilidhani Lissu hatarejea
Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela!

Final Update
Tundu Lissu leo amerejea nyumbani Tanzania, hivyo naomba kuthibitisha humu kuwa Tundu Lissu ni Jasiri na Shujaa Kuliko Nelson Mandela.

Hivyo sasa, kufuatia kurejea huku, ule ushauri wangu nilioutoa kwake kabla hajashambuliwa, sasa utekelezwe.

Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!

Shujaa Kamanda Tundu Lissu, karibu nyumbani.
Mungu ni mwema amekutendea muujiza, hivyo endelea kutimiza ndoto yako, Mungu aliyekuponya ni Mungu mwenye uwezo, anaweza kabisa kulifanya "Jiwe Walilolikataa Waashi, Likafanywa Jiwe Kuu la Pembeni"

I wish him all the best.
Paskali
Mkuu kurejea nyumbani kwa Tundu Lissu was a natural end game.
In actual fact kuna watu ambao hawakupenda Lissu kurudi, lakini hawakujua kuwa kufanya hivyo ni kukiuka haki ya uraia ya Lissu.
Lissu ni mtanzania kabla na hata baada ya kupigwa risasi na kukimbilia ughaibuni.

Serikali ingefuata ushauri mbovu wa kutomruhusu Lissu kurudi ingeingia mtego mbaya wa si tu haki za uraia na binadamu, lakini vile vile kuwa on the morally wrong side of events.
Na hili lingempa Lissu umaarufu mkubwa zaidi.

Mandela phenomenon inaeleza kuwa if you are morally wrong in imprisoning a person, aliye kifungoni ni wewe uliyemtia lupango.
Nashukuru serikali imeliona hilo.
 
Back
Top Bottom